Kafedheheshwa kisa mke wa mpwawe...

Kafedheheshwa kisa mke wa mpwawe...

kiranga chake kakitafuta mwenyewe..... Anaenda kumsumbua mkewe tu kumuuguza marinda.....

Halafu gfsonwin ujue vijana wa namna hiyo wanaishi kwa kujilipua hawajali maradhi wala uchafu....

Ila sipati picha hivi wakikutana kwenye shughuli za ukoo itakuwaje? Kuna hatihati mjomba akataka kulipiza.....

yaani BADILI TABIA hawa sijui kama watakaa waongee milele.
 
Last edited by a moderator:
Unajua uchungu wa mke anaujua mwenye mke! Ila adhabu hii haikufaa kabisa. Na kila mtu ana jinsi anavyo pokea jambo, mwingine wala asinge mfanya kitu, lakini mwingine anaona sawa.

skatai mke wa mtu anauma sana sana, lkn kwenye kuadhibu lazima ufikiri mara mbili ama tatu si kukurupuka tu. hivi uncle nae akikodi watu wakawachome moto kama kulipa kisasi itakuwaje?
 
Ila jamaa ni katili sana na angekua na bastola ange mtoa duniani kwa mikono yake!

kiranga chake kakitafuta mwenyewe..... Anaenda kumsumbua mkewe tu kumuuguza marinda.....

Halafu gfsonwin ujue vijana wa namna hiyo wanaishi kwa kujilipua hawajali maradhi wala uchafu....

Ila sipati picha hivi wakikutana kwenye shughuli za ukoo itakuwaje? Kuna hatihati mjomba akataka kulipiza.....
 
Last edited by a moderator:
I know; ila kwa adhabu aliyoipata l can bet atatuliza ball; kwa mkewe ni fedheha tu ndio iliyobaki. Labda wahame mji!

hata mie nimesema ahame mji ili kupunguza msongo.
 
Upo sahihi ndio maana nikasema kila mtu ana jinsi anavyo pokea jambo! Huyu jamaaa hakufikiri kwa kina kabisa, kwani naamini hili ni bifu la milele na ndio limeanza utatupa updates!

Hila hii adhabu aliyompa kwa kweli jamaa ni katili sana.

skatai mke wa mtu anauma sana sana, lkn kwenye kuadhibu lazima ufikiri mara mbili ama tatu si kukurupuka tu. hivi uncle nae akikodi watu wakawachome moto kama kulipa kisasi itakuwaje?
 
Upo sahihi ndio maana nikasema kila mtu ana jinsi anavyo pokea jambo! Huyu jamaaa hakufikiri kwa kina kabisa, kwani naamini hili ni bifu la milele na ndio limeanza utatupa updates!

Hila hii adhabu aliyompa kwa kweli jamaa ni katili sana.

mie mpaka nimefikia mahali nikasema wapare si watu wazuri ni watu wa kulipa visasi vibaya sana. yaani huwa sipendi ku generalize lakin leo nimesema acha tu.
 
Hata akihama mji haitasaidia kabisa maana kaharibiwa, sijui afya yake vip?
Mke lazima amdharau kabisaaa
daaaaaaa hii ni nomaaaaa!

I know; ila kwa adhabu aliyoipata l can bet atatuliza ball; kwa mkewe ni fedheha tu ndio iliyobaki. Labda wahame mji!
 
Hata akihama mji haitasaidia kabisa maana kaharibiwa, sijui afya yake vip?
Mke lazima amdharau kabisaaa
daaaaaaa hii ni nomaaaaa!

yaani kiukweli ni noma sana, hivi shemeji zake ndugu wa mkewe watamwonaje? hivi watoto shulen itakuwaje???
 
Yan huu ukatili wa hatari sana, sasa ninacho jiuliza je afya yake itakuwaje?
Ila duniani kuna watu bhana!
Yaan uncle wake kabisaaa, hata ange jaribu kufikiri hili basi.

mie mpaka nimefikia mahali nikasema wapare si watu wazuri ni watu wa kulipa visasi vibaya sana. yaani huwa sipendi ku generalize lakin leo nimesema acha tu.
 
Yan huu ukatili wa hatari sana, sasa ninacho jiuliza je afya yake itakuwaje?
Ila duniani kuna watu bhana!
Yaan uncle wake kabisaaa, hata ange jaribu kufikiri hili basi.
rutta yaani ni bora simba ama chatu kuliko huyu jamaa aisee.
ukatili kama huu kwa mwanaume mwenzio sio kabisa na ni bora angemuua basi tujue moja manake angemuepushia matatizo ya dunia hii kuliko hivi alivyo mfanya.
 
Last edited by a moderator:
Na hisi jamaa kapunguziwa siku za kuishi kabisa, kwa kweli hii ni fedheha kabisa, hata hana nguvu za kumshitaki.

yaani kiukweli ni noma sana, hivi shemeji zake ndugu wa mkewe watamwonaje? hivi watoto shulen itakuwaje???
 
Ukitaka kujua watu wanao toa kafara ndugu zao ndio watu wa namna hiyo!
Kweli bora ange muua kabisa kwa kweli.

Kweli dunia ina mambo!

rutta yaani ni bora simba ama chatu kuliko huyu jamaa aisee.
ukatili kama huu kwa mwanaume mwenzio sio kabisa na ni bora angemuua basi tujue moja manake angemuepushia matatizo ya dunia hii kuliko hivi alivyo mfanya.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa..... Jamani uncle kafededwa.....!

Kufyededwa ni msamiat unaotumika sana mikoa ya kusin especially Lind na Mtwara ikiwa na maana ya kula,kumaliza au kumfanyizia na ni la mitaan nadhan msimuliaj wa hiyo story alikua ni chinga
 
Na hisi jamaa kapunguziwa siku za kuishi kabisa, kwa kweli hii ni fedheha kabisa, hata hana nguvu za kumshitaki.
binafsi nisinge shtaki yaani ningemuacha tu, unajua Mungu huwa anaangalia moyo uliopondeka na haijalish sababu gani iliyoufanya moyo wako kupondeka, so lazima Mungu atasema na mpwa mtu siku moja kwamba alichokifanya sio.
 
Back
Top Bottom