Kafedheheshwa kisa mke wa mpwawe...

Hao wana gay tendencies.

Mwanaume ambaye hana hizo tendencies hawezi kumfanyia mwanaume mwenzie kitendo kama hicho.

Atatafuta njia zingine za kumuadhibu huyo mtu.

Mfir.aji na mfirwa.ji wote ni wa.senge (ashakum....)

binafsi nimejiuliza maswali mengi sana hivi kweli njia hii itamfanya mke kutulia kama akiamua kucheat?

nilijisemea pengine binti kamsema huyu kwasababu ni uncle ila angekuwa mtu baki si haba angeweza kumkubali sasa sijui kama njia hii ni muafaka kwa kutatua tatizo kama hili.
 
Ni afadhali hata wangemsokomeza vijiti huko kwenye haja kubwa kuliko kuchomeka hizo mboli zao halafu wajione wajanja!
 
Huwezi jua, huenda wamendanganya mkewe lkn pia labda mkewe ni mvumilivu.

Ukisema huyu bwana una maana mpwa mtu? Sijaona shida yeyote kwenye ndoa yao, hivyo swala la kutulia sijui lahusikaje. Nieleweshe!

sio uango ni kweli limetokea na ukitaka kuamaini kama unamjua mtu anayeish ibaha maili moja muulize atakwambia. namaanisha ndoa ya uncle itakuwepo kweli? manake ulisema ajifunze kutulia na mkewe
 
Ni afadhali hata wangemsokomeza vijiti huko kwenye haja kubwa kuliko kuchomeka hizo mboli zao halafu wajione wajanja!

sasa hata hivyo inekuwa ni adhabu stahili? manake kwangu mie nafanisha na uuaji kwa kiwango cha ukatili.
 
sawa ila sasa wafikiri kwa hili hata katika uakoo nani atakayeonekana mkosa?

Of course member wa ukoo watakuwa na divide opinion, watoto na wazazi wa uncle wataona mpwa kakosea, na wanaweza kusema mkewe ndio alimshawishi, huenda ni wengi watakaona hivyo (kama uncle ana record nzuri); kuna kundi lingine, ndugu wa karibu wa mpwa na ndugu wa mkewe wataside upande wa mpwa na possibly vijana wengi; again kama uncle ana record mbaya huenda no ya wanaoside na mpwa ikawa kubwa!
 
Kweli mke wa mtu ni sumu! Ila jamaa kapewa adhabu kubwa aiseeee!
Hilo ni funzo tosha kwa wanao penda kudandia vya watu! Sipati pichaaa!
 
sio uango ni kweli limetokea na ukitaka kuamaini kama unamjua mtu anayeish ibaha maili moja muulize atakwambia. namaanisha ndoa ya uncle itakuwepo kweli? manake ulisema ajifunze kutulia na mkewe

I meant wamemdanganya mke wa uncle kuhusu chanzo cha kulawitiwa mumewe!

Lkn pia anaweza akawa kwenye kundi la wavumilivu akaendelea na ndoa yake!
 
sijapenda adhabu aliompa ya kumtenda vile na yeye hiyo dhambi ataiungama wapi
kuna adhabu mbadala kama kutransfer kiwanja au mali zingine kama fidia
watakuwa maadaui maisha yao yote na ipo siku na yeye yatamfika kwani mtenda hutendwa daima
 
Of course member wa ukoo watakuwa na divide opinion, watoto na wazazi wa uncle wataona mpwa kakosea, na wanaweza kusema mkewe ndio alimshawishi, huenda ni wengi watakaona hivyo (kama uncle ana record nzuri); kuna kundi lingine, ndugu wa karibu wa mpwa na ndugu wa mkewe wataside upande wa mpwa na possibly vijana wengi; again kama uncle ana record mbaya huenda no ya wanaoside na mpwa ikawa kubwa!

uko sahihi kabisa ila bado najiuliza ukatili kama huu kweli uvumiliwe ama utetewe??
 
kama ni real basi ilitoshakumwambia wazi mbele ya mkewe lakini adhabu ya kifo kwa wizi wa nazi balaa
 
Waswahili bana,
so iyo ndo best solution waliyoona inafaa????

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kweli mke wa mtu ni sumu! Ila jamaa kapewa adhabu kubwa aiseeee!
Hilo ni funzo tosha kwa wanao penda kudandia vya watu! Sipati pichaaa!
rutta nimejikuta namsaidia mkewe kusikitika. sasa anavyojifungia ndani atapona na infections?
 
Last edited by a moderator:
kiranga chake kakitafuta mwenyewe..... Anaenda kumsumbua mkewe tu kumuuguza marinda.....

Halafu gfsonwin ujue vijana wa namna hiyo wanaishi kwa kujilipua hawajali maradhi wala uchafu....

Ila sipati picha hivi wakikutana kwenye shughuli za ukoo itakuwaje? Kuna hatihati mjomba akataka kulipiza.....
 
Last edited by a moderator:
uko sahihi kabisa ila bado najiuliza ukatili kama huu kweli uvumiliwe ama utetewe??

Akashtaki akiweza, ukatili ni kitendo cha yeye kutoheshimu ndoa ya mwipwaye, ukatili ni kitendo cha yeye kuisaliti ndoa yake, ukatili ni kitendo cha yeye kupinga Amri ya Mungu na ya utu (in case haamini Mungu) kwa kutaka kuzini na kutamani mke asiye wa kwake!
He had it coming!
 
I meant wamemdanganya mke wa uncle kuhusu chanzo cha kulawitiwa mumewe!

Lkn pia anaweza akawa kwenye kundi la wavumilivu akaendelea na ndoa yake!
Kaunga kibaha mjini hapa ni kamji kadogo sana yaani stori zinasambaa kama moshi kibaya zaid vijana waliotumika wengine ni wabeba mizigo ambao wako mtaani wanaelezea jinsi walivyo muadabisha yaaani ni aibu mbaya balaa hata watoto wake sijui shule wataendaje.
 
Last edited by a moderator:
Unajua uchungu wa mke anaujua mwenye mke! Ila adhabu hii haikufaa kabisa. Na kila mtu ana jinsi anavyo pokea jambo, mwingine wala asinge mfanya kitu, lakini mwingine anaona sawa.

sasa hata hivyo inekuwa ni adhabu stahili? manake kwangu mie nafanisha na uuaji kwa kiwango cha ukatili.
 
Back
Top Bottom