Mchanganyiko wa huzuni na raha nayo ni burudani relax babyHewaaa wewe ni muhenga kumbe umenena vyema kabisa
Ila hiyo lugha ya mwanzo imenihuzunisha
Kuna sandarusi hapa kona usijali....Weka mambo vizuri![]()
AhsanteKaribu tena mkuu
Unakumbuka una kesi na mm na kile kibabu chetu sasa wewe nichombeze tu huyo GUna sh.ngapi nikwambie huyo G ni nani?
Anakuchora tu huyo hakuna lolote akija kwangu inakuwa Demiss for G foreverHuwezi amini anampenda mama yangu kufa
Tatizo dogo huwa unanificha Vingi Hata hili sikujua hadi Leo siku maalum.Vyuma vimekatika dogo

Ndio maana nawapelekea umbea nilioushuhudia hapa kwasababu nawapendaNdo unazipeleka kwa jje's?
Leo siku ya wanawake ujue?tunatakiwa kupendana![]()
Basi mission completed.Kuna sandarusi hapa kona usijali....
Unapajua ununio?Ndio maana nawapelekea umbea nilioushuhudia hapa kwasababu nawapenda



Hivi ney yupo?Umeona huu mvurugano uliopo leo?![]()
![]()
![]()
Mimi sitoagi rushwa, napokeaga tu! Ile kesi ilishaisha muda wakeUnakumbuka una kesi na mm na kile kibabu chetu sasa wewe nichombeze tu huyo G
Nikafute kesi yenu
Uliikimbia na mafile yakeMimi sitoagi rushwa, napokeaga tu! Ile kesi ilishaisha muda wake




Nasikia katekwa na ......Hivi ney yupo?
Ununio ndio maskani kwangu, kwahiyo hapanitishi hataUnapajua ununio?![]()
Jose ama??Nasikia katekwa na ......