Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,309
Ulichokiandka unakijua mwenyew
Mimi na Dina tunapendana.Hawa wananipenda kufwa nawapenda from my heart
Ujana maji ya motooooo damu zinachemkahhahahah ujana rahaaa sanaa
Dogo si unanikaziaMbona wewe hugombaniwi??

Jana usku tumepiga sana story Sir MangaKwema mkuu habali ya masiku
Nilitapanya nini et braza mdogo?Braza jana ulikuwa umekunywa nn ?![]()
![]()
![]()
Una sh.ngapi nikwambie huyo G ni nani?Hahahahaha labda kuna G square naunganisha dot
Hata mm kuna G ananisumbua sasa sielewi kabisaa ni G gan anayesemwa hapa tukaee mbali kabisaaa
Mh leo ntakwepo kaaaamili ntakua pale![]()
![]()
hakuna wa kunituliza tena maana nina ushahidi wa pande zote mbili
![]()
![]()
hakuna wa kunituliza tena maana nina ushahidi wa pande zote mbili
Hahahaha Samaritan njoo huku umtulize huyu nduguyoJana mlinifunga mdomo sasa nipata sababu ya kusema yote niyajuayo maana naona hapa kuna ngoma droo
Mwambie Nakupenda jua kuliko chochote Muulize tu sitaki Ufe mapema
huyu hata ukinikuta pm kwake usihofu hatudhuriani hata kidogo. 
Itakua zilizidi asee sikumbukiJana usku tumepiga sana story Sir Manga
Hahaha
Hukumbuki
Jana tumeongea na nika kueleza kwa nn nilipoteaNilitapanya nini et braza mdogo?
Tafuta uzi wa mama sabrina nayeye amemzungumzia huyo GHakuna anaemjua
Kule ulipoenda nami nitaenda maana si kwa ujio huu![]()
![]()
![]()
![]()
Jirani mambo yangu mazuri asee
Niambie mamaKichwa weeee