Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,664
- 1,374
Mmeanza kumuwangia kadogosa lkn jamaa ni best ceo wa trc mpaka sasa hakuna aliye perform kama yeye mnataka awekwe nani maana januari tayari yupo energy lbd rizi1.maana ni ulaji tu ndiyo la muhimu kwa sasa.tumerudi tulikokuwa.tenda siyo kufavor cheapest tu,kunahabari ya quarity muhimu zaidi,ww endelea kuwanga karibu kuna kucha.Hili lilikuwa genge la wezi,
Rais Samia toa huyu