Kadi za ACT zagombaniwa kama njugu Arusha mjini

Kadi za ACT zagombaniwa kama njugu Arusha mjini

YUPO MPUUZI MMOJA ALIYEFUNGUA PAGE INSTAGRAM YA KWAMBA LOWASSA ATAHAMIA ACT NI UONGO ULIOTUKUKA,LOWASSA HAWEZI KWENDA ACT KAMWE,

ATABAKIA CCM DAIMA NA ATAUNGANA NA MH.MAGUFURI KTK KAMPENI SIKU SI NYINGI/ii

Kuna kauli tata kwenye account ya lowasa .. ungeenda kuangalia kwanza..
 
Mi mwenyewe nimeisikiliza hiyo audio.. ila Lowasa atulie tu jamani asiende upinzani..
 
Enyi washauri wake na wapambe wake , mstopishen huyu mzee jamani Pasco
 
Last edited by a moderator:
Lowasa hawez kwenda act akawe easy target that will never happen
 
ccm chama nguli lowassa hawezi shuka ktk ndege apande tololi bovu..hawezi kujimaliza kisiasa huyu ni kada jabari ajua kbs. uongozi hutoka kwa mungu mtasubiri sanaa km fisi kwa mkono wa binadamu...enl kubali matokeo tujenge ccm tujenge nchi
 
Katika hali isiyo ya kawaida jana kuanzia mida ya saa kumi mamia wa vijana walijazana katika ofisi za matawi ya ACT Arusha na kuzimaliza kadi zote still kuna watu wengi wamekosa kadi. Vile vile kuna audio inasambaa watsap vijana wakimshawishi Zitto afanye mkutano Arusha na ampokee Lowasa kama mgombea. Muda utatupa jibu ya haya yote

Nimemsikia kijana mmoja akiongea kwenye cm akimwambia Zitto Arusha kumpokea Lowasa kwani vijana wamejiandaa.
 
Back
Top Bottom