Kadi za ACT zagombaniwa kama njugu Arusha mjini

Kadi za ACT zagombaniwa kama njugu Arusha mjini

Zanzibar kadi za ACT zinapatikana wapi?
 
"katika hali isiyo ya kawaida"
hivi watu kununua kadi ya chama fulani hiyo ni hali isiyo ya kwaida?
 
sasa jamani mmmmm.HIV kama ni wewe utaacha nusu ya mshahara WA waziri mkuu aliyeko madarakani,kulipiwa wafanyakazi,nyumba,chakula,matibabu na mengine halafu uende sehemu ambayo huna uhakika kama utapata?
 
Wadau wazee wanaenda kujiunga na chadema wanasema ACT ni chama kidogo.......so Team Lowasa uzi ndo huo
 
Katika hali isiyo ya kawaida jana kuanzia mida ya saa kumi mamia wa vijana walijazana katika ofisi za matawi ya ACT Arusha na kuzimaliza kadi zote still kuna watu wengi wamekosa kadi. Vile vile kuna audio inasambaa watsap vijana wakimshawishi Zitto afanye mkutano Arusha na ampokee Lowasa kama mgombea. Muda utatupa jibu ya haya yote

CCM MNALO MWAKA HUU. NASIKIA NA KIGOMA KUNA KILIO KWANI VIJANA WAO WENYE TAMAA YA VIELA VYA EDO WAMENASA DODOMA BAADA YA MFADHILI WAO MKUU EDO KUPIGWA CHINI NA NA CC ya CCM
 
mbona miaka yote waislam hawaendi kuswali ijumaa kwa kuruhusiwa kuacha kazi za umma lakini wakirsto kila wiki wanenda kusali? nao huo tuuite udini? mpumbavu kama wewe huoni kuwa Idd ni sawa na x-mass? ni kweli huelewe au ni akili za ki'senge zinakusumbua. ...... mbafu zako.

Mi naona ni kweli hizo akili zake zilizo kama hizo ulizomtajia hapo ndio zinazomsumbua.
 
Katika hali isiyo ya kawaida jana kuanzia mida ya saa kumi mamia wa vijana walijazana katika ofisi za matawi ya ACT Arusha na kuzimaliza kadi zote still kuna watu wengi wamekosa kadi. Vile vile kuna audio inasambaa watsap vijana wakimshawishi Zitto afanye mkutano Arusha na ampokee Lowasa kama mgombea. Muda utatupa jibu ya haya yote

Siasa ina takiwa ukomavu wa hali ya juu.lowassa sio mjinga ahame ccm hivi hivi?
 
Hiyo audio inayosambaa whatsup nimeipata sasa hivi yani nashangaa inakuwaje hivi ni kweli huyo anayejibu swali ni Zito Kabwe au!!
 
Kwa sababu, sikukuu ya idi ipo moja tu kwa mwaka mzima. Wakati huo huo, kuna jumapili 52 katika mwaka mzima, hivyo ukitoa siku moja ya jumapili unapata jumapili 51 za kusali. Na katika hizo 51 zenyewe, unaweza kuta mtu ameenda jumapili 20 tu, sasa hiyo jumapili moja ndo inaleta maneno?

Dah una maakili wewe... Thumb up, naunga hoja mkuu
 
Huu sio udini, lakini wachungaji wanahoji kwanini zoezi la uandikishiji linalo chukua siku 12 lihailishwe sababu ya Idd ya siku moja. Lakini tume hiyo hiyo imeshindwa kubadiri siku ya juma pili kama siku ya kupiga kura. Ambayo ni siku moja lakini ya ibada kwa wa kristo.

Kwahyo walitakaje
 
Back
Top Bottom