Katika hali isiyo ya kawaida jana kuanzia mida ya saa kumi mamia wa vijana walijazana katika ofisi za matawi ya ACT Arusha na kuzimaliza kadi zote still kuna watu wengi wamekosa kadi. Vile vile kuna audio inasambaa watsap vijana wakimshawishi Zitto afanye mkutano Arusha na ampokee Lowasa kama mgombea. Muda utatupa jibu ya haya yote