GunzInTheAir
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 301
- 21
Umejuaje Nape amedanganya? Nadhani akili yako imebebwa na hao waliotangulia kupost na kukuaminisha wanayosema i.e kadi za kuchongeshwa. Lkn sikulaumu, asilimia kubwa sana ya watu humu ndani wapo kama wewe.Amekosea kupanga namna ya kudanganya, ilipaswa achukue za CUF, NCCR,CHEYO na MREMA ili kufurahisha magamba wenzake kuwa hali iko shwari. Siku watakayo angukia pua ndo watajua ubaya wa janja ya nyani wanayofanya sasa hivi. "NAPE aka CCJ" na CCM KWISHA HABARI YAO