Tukio zima halina sura ya utekaji.
Mtu hawezi kuteka mtoto na akaruhusu ajulikane kwa kwenda yeye mwenyewe kwenye eneo la tukio na kuteka mtoto.
Ingekuwa utekaji, angetuma watu wakamteke mtoto bila yeye kuonekana, ili akwepe jinai ya utekaji.
Ila mada nzima imelenga kwenye jina la Chadema, ndio maana mada yote imekosa uzito kabisa.