Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Huyo aliyekubali kununuliwa na cdm (cheap amount) kwenda mpaka igunga na kuuliwa ili mpate public sympathy..

Ili mpate madaraka for you ill-intentions anahitaji elimu na kuondolewa upumbavu wake...

namsikitia zaidi kwakuwa hajui yeye ni muislam ni target group kwa cdm (kama walivyomfanya kwa hijab)

Vijana wanatumika vibaya
Lazima wewe ni mchawi.
 
Mungu akisema basi ni basi tu hautaweza kubadilisha kitu. Hawa jamaa wanazidi kujaa damu za watu mwili mzima. Hakika siku zao zimehesabika maana Mungu si dhalimu na tutashuhudia anguko kuu si muda mrefu.!

Mungu atasimama na wanaotenda haki katika nchi hii haijalishi itachukua muda gani!
 
nimeangalia picha hakika kitakacho nipunguzia hasira ni kulipiza..
 
masikiini kijana wa watu..................sasa intelijensia ihusike hapo
 
Inawezekana cdm wamemua ili kupata public sympathy kama kawaida

Besides, I reserve my comments mpaka uchunguzi ufanyike..

Kwanini atolewe temeke aende mpaka igunga? wanatumika vijana very cheap

Hizo ni zenu za kumwagia wanachama wenu acid,kuchoma nyumba zenu wenyewe kuisingizia CDM.This must be that Green Guard wenzio wamemuua kijana mwenzetu.Hivi CCM Hawakuwa na watu kutoka nje ya Igunga? Acha unafki na kutetea jambo lisilo la kutetewa.Tusubiri uchunguzi ingawa najua serikali ya CCM Itapotezea.CCM sio wazalendo kabisa,why do u want to win kwa kutoa uhai wa m2,why? am so so so Sad.DAMU hii lazima iwatafune
 
Asee, hii mbaya.
ngoja nitafakari kwanza nitarudi!!

Ni kweki kwa hili, mtu inabidi utafakari kwanza kabla ya kuandika maana.....! Ee Mwenyezi Mungu,wape watu wako hekima na moyo wa uvumilivu!
 
Kama ni kweli, kiumbe huyu wa MUNGU uhai wake umepotezwa na mafedhuri wa Kisiasa, basi haki ya Mungu watanzania lazima tutachinjana. Nasema bila kumun'gunya maneno. Sababu ni moja tu, damu ya kijana huyo i juu yetu watanzani wote. Na tunaponzwa na ukimya wetu wa kutokemea na kutochukua hatua wa haya yafanywayo na utawala wa kifalme pamoja na vyombo vyake vya dola kwa maslahi la kundi dogo la Shetani.

Huyu kijana ameuwawa na wana ccm,kupitia kitengo chao cha usalama,baada ya kukataa kushiriki kuchakachua..amekufa shujaa....hata hivyo kazi ya kupeleleza Itahitaji chombo Huru, sidhani Kama polisi watafanya nini baada ya kutoifanyia kazi taarifa waliyopewa awali.

Kuna maswali mengi hapa....,tunahitaji kujuwa waliosimamia kura na marehemu wa vyama vingine wake wapi....kuna vyama nane..wana maswali ya kujibu!...msimamizi wa uchaguzi Ana swali ya kujibu,....tunahitaji kujuwa matokeo ya uchaguzi kwenye kata aliyosimamia marehemu...,matokeo Yake yatatupa clue..,tunahitaji kujuwa Kama marehemu alisaini nyaraka za kata aliyosimamia...je sahihi ni yake au imekuwa forged...we need a serious forensic scientist detective in this case....
 
Nasubili Tamko halafu tume itaundwa!!,
zamani nilikua nawaamini polisi kwa 90%, baada ya tukio la zombe ikashuka mpaka 40%, baada ya tukio la Arusha na mambo ya intelijensia, ikashuka mpaka 20%, baada ya taarifa ya uchunguzi binafsi wa Mwakyembe kuhusu mpango wa mauaji ya kina Slaa, Mwakyembe e.t.c ikafika 10%, sasa sijui itabaki % ngapi baada ya kugundua uzembe au ushiriki wao katika mauaji hayo!
 
Guys,I cried after seeing the photos.Am sad where my beautiful Tanzania is heading.

I am worried to face this future,but mimi ndo kijana,i must fight for my people whenever the need arises.I will,yes,i shall.So longer as i live,my life is worth nothing unless my people are free from opression.I pray my country becomes like Ghana and Zambia.GOD hear my prayers,Kikombe hiki hatutaki kukinywa,ila mapenzi yako yatimie.

GOD give me stregth.GOD show us the way that we deserve to take towards true liberation.AMEN
 
Bakwata haiongozwi na watu majuha.Hatuwezi kujiingiza kwenye jambo la dhana.Pale Igunga tulipolaani tuliwaona Chadema wakimkokota bi Fatma Kimaro kweupee.Hii kwamba maiti imekutwa nyuma ya gereza si lazima wauwaji wawe CCM.Uwezekano ni kuwa ni Chadema wakiwa na shutuma fulani kwa Mbwana kwamba kwa vile ni muislamu aliwasaidia CCM.

Kutakuwa na pilau mkuu tafuteni vipaza sauti vya kutolea tamko.
 
Natoa Tamko: HARAKA UCHUNGUZI UFANYIKE LA SIVYO MBUNGE ALIYETEULIWA(SIO KUCHAGULIWA) ASIKANYAGE JIMBONI WALA BUNGENI.. ABAKIE HAPO MANZESE..
 
Usiwe na wasiwasi, TZ ina wenyewe. Wazalendo wa kweli tutailinda nchi, kufa kupona. Kamwe Tz haiwezi kuangukia mikononi mwa MANYANG'AU, Magwanda included.

We dada sijui kaka nakuombea kwa MUNGU akunyooshe upate uchungu ambao haujawahi kuupata tangu uzaliwe amina.
 
Aah huu msiba umenihuzunisha sana,lakini cha ajabu kuna watu sina uhakika lakini pengine ni masokwe wanafurahia kuuwawa kwa mwenzetu,naomba MUNGU awape adhabu ili wajifunze,maana wamesahau kwamba BIN ADAM NI NYAMA YA UDONGO.
 
huyo sio raia wa igunga ila dar, soma vizuri Gwallo. anatambulika kama wakala kwani ndio kazi iliyomtoa dar kwenda igunga. tungoje ripoti ya polisi ila taarifa za kijasusi ni kwamba marehemu aliuawa tena kwa risasi. sasa ngoja vyombo vya dola vidanganye.
 
nawashangaa humu nyote siwaelewi mtu aliye mwagiwa tindikali mna sema CCM lolote baya mnasema ccm tuache huu unafiki. Sasa hili laleo mna sema CCM, kama si unafiki mnauendeleza. Nini tuwe wakweli penye ukweli tuwe wakweli. Huyu mtu katoka dar es salaam mpaka tabora igunga. Chama kilichompeleka kama wakala ndicho kimehusika na mauaji ya kijana wetu ndugu yetu kwa maslahi ya chama chao kwani wao hawaoni shida kupoteza mtu kwa maslahi ya chama. Kwani igunga kulikuwa hakuna mawakala. Inaonesha dhahiri chama hicho kisivyo waamini raia waeneo husika la uchaguzi. Lazima viongozi chama hicho wawajibishwe kwani ndio wamesababisha kifo cha marehemu mbwana.
 
nawashangaa humu nyote siwaelewi mtu aliye mwagiwa tindikali mna sema CCM lolote baya mnasema ccm tuache huu unafiki. Sasa hili laleo mna sema CCM, kama si unafiki mnauendeleza. Nini tuwe wakweli penye ukweli tuwe wakweli. Huyu mtu katoka dar es salaam mpaka tabora igunga. Chama kilichompeleka kama wakala ndicho kimehusika na mauaji ya kijana wetu ndugu yetu kwa maslahi ya chama chao kwani wao hawaoni shida kupoteza mtu kwa maslahi ya chama. Kwani igunga kulikuwa hakuna mawakala. Inaonesha dhahiri chama hicho kisivyo waamini raia waeneo
husika la uchaguzi. Lazima viongozi chama hicho wawajibishwe kwani ndio wamesababisha kifo cha marehemu mbwana.

Mungu akulaani, hujafa hujaumbika.....wewe huoni huruma binadamu kufa tena kwa mateso makali"....DC mkafanya siasa za udini? Mke wa ustaadhi Rajab kutiwa pande zote na Mchemba mkaa kimya, nasasa mtu ameuliwa (kwa kukataa kushiriki uchakachuzi) kimya......ubinadamu wenu uko wapi...j.
 
Back
Top Bottom