Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Ndiyo tatizo la serikali la kuwachekea makada wa CCM wanaokwenda kwenye kampeni na bastola na wengine hata kuzifyatua!

Hawa magamba wanachezea na damu za binadamu!

Wanataka kupandisha hasira sasa watu wauane!
 
Kwa CCM niijuavyo haitawahi kukubali kuondoka madarakani kwa sanduku la kura ni MAFIA wa kikomunisti hawasiti kumpoteza yeyote ndani na nje ya chama.
 
Una maana gani kuiondoa? Kama kwa sanduku la kura, sawa. Vinginevyo....PATACHIMBIKA.
Ok ok ok Kishongo, Hata kule Tunisia baada ya kifo cha yule kijana serikali ilipoona wananchi munkari umepanda ilisema PATACHIMBIKA. Na kweli palichimbika na majibu unayo. Usidanganywe na hao Polisi waliotanguliza vitambi mbele kama nguvu ya umma itaamua kuchukua nchi yao wataweza kuzuia lolote. MUNGU ainusuru CCM ili yasitokee hayo.
 
Ee Mungu Ilaze Roho Ya Marehem Mahala Pema Peponi.. Damu Yake Italipwa Tu
 
Maiti ya mtu anayesadikika kuwa alikuwa wakala wa Chadema imeokotwa nyuma ya Magereze.

Barabara zimefura raia.

Wana-Igunga wanasema hawana mbunge.

Dk. wa Manzese asikanyage Igunga.

Abari ndo iyo.

Live kutoka kwa Wajikoni Igunga.
Wasira in action.
 
Ni mpaka lini haya mambo ya CCM bila kuelekezwa kunakostahili????????????? Kmanda wetu kuuwaua Igunga kwa sababu ya itikadi yake kisiasa nchini, CHADEMA makao makuu tunaomba mwongozo.

Ubunge wa Kafumu wa ku-unga unga kumbe ni kwa ajili ya kuwatesa na kuwaua Wana-Igunga hata kabla hatujamfikisha mahakamani?

Wakati umefika wa kuiondoa serikali...
 
Mwili uliokotwa ni wa Mbwana ambae ni mmoja wa mawakala wa CHADEMA ambae ni mwenyeji wa Dar alipotea kwenye mazingira ya kutatanisha na kuna mawakala zaidi ya wanne waliko magereza huyu taarifa zake hazikutolewa kuwa nae alikuwa amekamatwa..........................
 
Damu yake na iwe juu yao! na iwe juu ya watoto wao na watoto wa watoto wao, na ikawafuate popote waendako!
 
Ok ok ok Kishongo, Hata kule Tunisia baada ya kifo cha yule kijana serikali ilipoona wananchi munkari umepanda ilisema PATACHIMBIKA. Na kweli palichimbika na majibu unayo. Usidanganywe na hao Polisi waliotanguliza vitambi mbele kama nguvu ya umma itaamua kuchukua nchi yao wataweza kuzuia lolote. MUNGU ainusuru CCM ili yasitokee hayo.

Usiwe na wasiwasi, TZ ina wenyewe. Wazalendo wa kweli tutailinda nchi, kufa kupona. Kamwe Tz haiwezi kuangukia mikononi mwa MANYANG'AU, Magwanda included.
 
Eeee Mungu isaidie Tanzania. Utusamehe kwa madhambo tunayoyafanya....
 
Mwili uliokotwa ni wa Mbwana ambae ni mmoja wa mawakala wa CHADEMA ambae ni mwenyeji wa Dar alipotea kwenye mazingira ya kutatanisha na kuna mawakala zaidi ya wanne waliko magereza huyu taarifa zake hazikutolewa kuwa nae alikuwa amekamatwa..........................

This is serious... CHADEMA naomba wafanye uchunguzi wa haraka, then watoe tamko la nini kifanyike mara moja... We are ready for anything...
 
Hakika alieua kwa upanga atakufa kwa upanga muhusika hapo anaweza akawa mchemba-mana lile jama lna roho mbaya kama nn,alafu lina misifa,WANAIGUNGA KAFUMU AKIJA IGUNGA MTANDIKENI MAWE MPAKA AFE,NA HYO NDO ITATHIBITISHA HAPENDWI NA CCM YAKE,mungu ampokee shujaa we2.
 
Inatia hasira sana. Kweli Magamba kama wamefikia hapo sasa tuseme baaasi inatosha. Marehemu alazwe pema, ila Mungu yuko nasi bado punde tu mambo hayatakuwa shwari.
 
Mwili wa marehemu tayari umeshazikwa kwani ulikuwa umeharibika vibaya sana kiasi kwamba haukuweza kusafiishwa kupelekwa Dar kwani inasemakana ulikuwa na majeraha na macho kutobolewa hivyo familia ya marehemu na viongozi wa Chadema walikubaliana kuuzika Igunga mjini...ni msiba ambao umegusa wana igunga kwa wingi sana............Hii ndiyo Tanzania tunae hubiliwa ina amani
 
Usiwe na wasiwasi, TZ ina wenyewe. Wazalendo wa kweli tutailinda nchi, kufa kupona. Kamwe Tz haiwezi kuangukia mikononi mwa MANYANG'AU, Magwanda included.
Exactly mtailinda hadi wewe uwe wa mwisho kama wanavyomlinda Gaddafi leo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom