Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Duh!!
Haya bana, kama ccm mmeamua kutufanyia hiv sisi raia tusio na kosa, itafika wakati wa kulipa, na hakika mtalipa. Nape, wewe ni kijana mdogo sana, nakuonea huruma sana.
 
Hili liwe fundisho kwa wale wanaojipeleka kichwa kichwa kushabikia fujo za magwanda. Ni ujumbe tosha kwa machalii....wasikubali kudanganywa tena na siasa uchwara.

Kwa hiyo unakubali kuwa CCM ndio wamewaua ili liwe fundisho
 
Hapo CCM wala haihusiki, nyie CDM wenyewe toeni ukweli, vijana wenu wa Arusha ndio wamefanya haya mauaji, kwani mnafikiri hatujui kuwa kuna vijana wenu waliozulumiana hela huko igunga. Waislamu hawatakiwi CDM na wengi watauwawa.

Ndio maana tunasubiri tamko la BAKWATA, ila bado wapo lkimya, sijui kuna nini.
 
Dah, imeniuma. ila sijapenda kudisplay picha ya deceased mtandaoni, ni kinyume na haki ya privacy ya marehemu na family yake may sue you in the court of law. angalau ungeweka picha yake akiwa hai, stil would make sense.
 
Walimuua chadema (wale vijana wakala wenzake) baada ya kuhisi kuwa n msaliti..

Na ujue hawaamini waislamu wote katika hicho chama...so muslims youngs watch out..
Sasa mbona BAKWATA hawatoi tamko?
 
Ni dhihaka kubwa CCM kututaka mashauriano juu ya Dowans wakati hawaelezi nini wanachokifahamu juu ya kifo cha Maasou Mmbwana kule Igunga.

Na kwenye hayo mazungumzo nawashauri wasiende, tutawapoteza wote
 
Back
Top Bottom