Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Haya ndiyo matunda ya Kutengeneza 'militant camps' kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Niliwahi kusema huko nyuma kuwa Amani ya Tanzania itavurugwa na CCM. Mtu huyu atakuwa alitekwa na Green guards na kumtesa awapatie habari zaidi juu ya outsiders walioletwa na CDM.

Katika harakati hizo watakuwa walimuumiza sana na ikaionekana wakimuacha hai atatoa siri na kuamua kummaliza kabisa kuficha ushahidi. Nina hakika kuwa kama marehemu angekuwa wa CCM basi uongozi mzima wa CDM uliokuwepo Igunga ungekamtwa kwa uchunguzi, ninaliomba jeshi la polisi kuwazuia akina Nchemba kama prime suspects.
 
Hili Suala Tusipo simama kwa Umoja wetu na Kusema Hapana tutafika pabaya kama Taifa!! Tofauti za Kisiasa sio Chuki ya Kufanya watu Kuuwana!! Vyama vya kutetea Haki za RAIA MKO WAPI? PIGENI KELELE HILI HALIKUBALIKI
 
This is serious... CHADEMA naomba wafanye uchunguzi wa haraka, then watoe tamko la nini kifanyike mara moja... We are ready for anything...
The first thing in place Chadema as a team waende Igunga kuwashukuru wananchi kwa kuwapa kura za kutosha wafanye mkutano wa hadhara wakati huo huo na kuhani msiba.
 
Mwili wa marehemu tayari umeshazikwa kwani ulikuwa umeharibika vibaya sana kiasi kwamba haukuweza kusafiishwa kupelekwa Dar kwani inasemakana ulikuwa na majeraha na macho kutobolewa hivyo familia ya marehemu na viongozi wa Chadema walikubaliana kuuzika Igunga mjini...ni msiba ambao umegusa wana igunga kwa wingi sana............Hii ndiyo Tanzania tunae hubiliwa ina amani

sina hamu kabisaaa! Wakati mwingine najiuliza nini maana ya kupiga kura.
 
Binafsi naomba ukimya unitawale, until a research is complete and the responsible speakers give a suggestion on what to do...!
 
Mwili wa marehemu tayari umeshazikwa kwani ulikuwa umeharibika vibaya sana kiasi kwamba haukuweza kusafiishwa kupelekwa Dar kwani inasemakana ulikuwa na majeraha na macho kutobolewa hivyo familia ya marehemu na viongozi wa Chadema walikubaliana kuuzika Igunga mjini...ni msiba ambao umegusa wana igunga kwa wingi sana............Hii ndiyo Tanzania tunae hubiliwa ina amani
Hii ni hali ya kusikitisha sana.............Nafikiri pale rais alipotangaza tupo katika "State of emergency"huenda ni moja kati ya vitu alivyovimaanisha.
 
Dr, Kafumu ubunge wako umejaa damu za watu wasio na hatia, wewe na CCM lazima damu hii itawalilia mpaka siku ya kiama, ole wenu .
 
Mwili wa marehemu tayari umeshazikwa kwani ulikuwa umeharibika vibaya sana kiasi kwamba haukuweza kusafiishwa kupelekwa Dar kwani inasemakana ulikuwa na majeraha na macho kutobolewa hivyo familia ya marehemu na viongozi wa Chadema walikubaliana kuuzika Igunga mjini...ni msiba ambao umegusa wana igunga kwa wingi sana............Hii ndiyo Tanzania tunae hubiliwa ina amani

Then what???? Viongozi wa CHADEMA wanataka kutuambia nini tunaojitolea kwenda kutetea chama katika chaguzi??? Kuwa manyang'au yanaweza tu kuamua kutuua kama wanavyotaka, bila kuambiwa chochote?? No, this is utani...
 
Wazalendo wa kweli wauwaji wa kweli....

Saaafi kabisa, umepatia kabisa, Mpwa kama unaweza kuunganisha thread hii na ya kwangu yenye Title: Polisi, ni wapi alipo Musa wakala wa CHADEMA Igunga? Nadhani itakua imenoga vizuri!
 
Inawezekana cdm wamemua ili kupata public sympathy kama kawaida

Besides, I reserve my comments mpaka uchunguzi ufanyike..

Kwanini atolewe temeke aende mpaka igunga? wanatumika vijana very cheap
 
Binafsi naomba ukimya unitawale, until a research is complete and the responsible speakers give a suggestion on what to do...!

Mpwa hio research unayosema haitakaa ifanyike, maana hii iliripotiwa muda mrefu kuwa amepotea na polisi walisema hawakua na taarifa zake na kwamba kuna wengine walikua wanawashikilia na wakakiri kuwa hawajatoa taarifa kwa ndugu zao! kuna thread yenye hii ishu ipo jamvini labda Mods waiunganishe na hii
 
Inawezekana cdm wamemua ili kupata public sympathy kama kawaida

Besides, I reserve my comments mpaka uchunguzi ufanyike..

Kwanini atolewe temeke aende mpaka igunga? wanatumika vijana very cheap

Walisharipoti kupotelewa na wakala wao tangu kuisha kwa uchaguzi na walikua wakimtafuta sasa iweje wamuue halafu wamtafute? wale sio wavuta bangi na wala hawataki cheap popularity kama magamba!
 
Saaafi kabisa, umepatia kabisa, Mpwa kama unaweza kuunganisha thread hii na ya kwangu yenye Title: Polisi, ni wapi alipo Musa wakala wa CHADEMA Igunga? Nadhani itakua imenoga vizuri!

mkuu elli nyie ambao mko karibu na viongozi wa cdadema waambieni watupe maelezo! make siku ingine wapambanaji wataogopa kwenda kupambana kwakuogopa kuuawa na magamba kama ndugu yetu mussa!!
 
Then what???? Viongozi wa CHADEMA wanataka kutuambia nini tunaojitolea kwenda kutetea chama katika chaguzi??? Kuwa manyang'au yanaweza tu kuamua kutuua kama wanavyotaka, bila kuambiwa chochote?? No, this is utani...
Kilichofanyika ni kuuzika mwili maana ulikuwa umehalibika sana...naamini watachukua hatua hawawezi kuliacha jambo kama hili likapita...................
 
Maiti ya mtu anayesadikika kuwa alikuwa wakala wa Chadema imeokotwa nyuma ya Magereze.

Barabara zimefura raia.

Wana-Igunga wanasema hawana mbunge.

Dk. wa Manzese asikanyage Igunga.

Abari ndo iyo.

Live kutoka kwa Wajikoni Igunga.

Hii habari itakuwa imeandikwa na Mzee Yusufu wa Jahazi Taarabu, imejaa mipasho
 
Hii sasa mbaya hii. Jamani hivi hatuoni kabisa? Sisi matanzania tutachukia humuuuuu mwishowe tutaishia kuchekacheka kama naniii......................aghhhhhhhhhh
 
Mtatoa Tamko la kuitisha maandamano nchi nzima? Tunasubiri jibu kutoka kwa wajikoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom