Kada wa CCM na rafiki wa Mwigulu yuko juu ya sheria?

helu

Member
Feb 28, 2015
85
150
 1. Tumeona mara kadhaa Jeshi la Polisi likikimbilia mbio kuwashika watu wanaotumia mitandao ya kijamii wanaotukana viongozi wa kisiasa wanaotoka kwenye chama tawala, lakini wanapotukanwa viongozi wa Upinzani huwa wanasema hawana Intelenjesia hiyo. Hivi sasa ni wiki tokea mtu mmoja anayeitwa Abdalla Saleh aliporekodiwa anaMtukana kiongozi wa Upinzani Zanzibar, amemtukana matusi ambayo ni kikomo cha matusi na chuki isiyomithilika. Amesema kuwa kiongozi huyo analawitiwa. Bw Abdalla pia amefika kiwango cha kudhalilisha dini na waislamu kwa Ujumla na kusema kuwa Mtume Muhammad Saw alikuwa analawitiwa.

  Kuna watu wameshitakiwa kwa kmuita kiongozi wa Chama tawala BWEGE, wapo wenye kesi kwa kutamka kuwa tupambane na DIKTETE UCHWARA, lakini pia wapo waliofikishwa mahakamani na kuyimwa dhamana kwa kuhadithia ndoto zao, na zaidi ya yote wapo waliohijiwa kwa kumuita kiongozi wa chama tawala MTUKUFU.

  Bw Abdalla pamoja na kukiri makosa hayo katika video mbili bado bado anatembea kifua mbele.
mwigulu.jpg
 
kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,785
2,000
Ni aibu tup,kwa vyimbo husika kama havitachuka hatua yoyote

Kuweka rekodi. sawa Maalimu atoe malalamiko polisi hata kama hawatafanya lolote
 
SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
129,224
2,000
 1. Hivi sasa ni wiki tokea mtu mmoja anayeitwa Abdalla Saleh aliporekodiwa anaMtukana kiongozi wa Upinzani Zanzibar, amemtukana matusi ambayo ni kikomo cha matusi na chuki isiyomithilika. Amesema kuwa kiongozi huyo analawitiwa. Bw Abdalla pia amefika kiwango cha kudhalilisha dini na waislamu kwa Ujumla na kusema kuwa Mtume Muhammad Saw alikuwa analawitiwa.
Usiwe na wasiwasi mkuu. Kama kweli kayasema haya basi hakuna hata haja ya polisi kuhangaika naye. Walinzi wa Mtume bila shaka watamshughulikia ipasavyo. Faiza Foxy njoo huku mama kuna mtu analeta masikhara!!!
 
ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,436
2,000
 1. Tumeona mara kadhaa Jeshi la Polisi likikimbilia mbio kuwashika watu wanaotumia mitandao ya kijamii wanaotukana viongozi wa kisiasa wanaotoka kwenye chama tawala, lakini wanapotukanwa viongozi wa Upinzani huwa wanasema hawana Intelenjesia hiyo. Hivi sasa ni wiki tokea mtu mmoja anayeitwa Abdalla Saleh aliporekodiwa anaMtukana kiongozi wa Upinzani Zanzibar, amemtukana matusi ambayo ni kikomo cha matusi na chuki isiyomithilika. Amesema kuwa kiongozi huyo analawitiwa. Bw Abdalla pia amefika kiwango cha kudhalilisha dini na waislamu kwa Ujumla na kusema kuwa Mtume Muhammad Saw alikuwa analawitiwa.

  Kuna watu wameshitakiwa kwa kmuita kiongozi wa Chama tawala BWEGE, wapo wenye kesi kwa kutamka kuwa tupambane na DIKTETE UCHWARA, lakini pia wapo waliofikishwa mahakamani na kuyimwa dhamana kwa kuhadithia ndoto zao, na zaidi ya yote wapo waliohijiwa kwa kumuita kiongozi wa chama tawala MTUKUFU.

  Bw Abdalla pamoja na kukiri makosa hayo katika video mbili bado bado anatembea kifua mbele.
Abdallah ni yupi kati ya hao?halafu huyo dada ni mzungu au ana albinism?
 
Pragizzle

Senior Member
Aug 29, 2016
191
250
Apo ndipo nitakapowaona hao jamaa mabwege kweli kweli wakikaa kimya, au ndio kujaaliwa hekima?
 
Ihoyelo

JF-Expert Member
Apr 28, 2016
288
250
Ukivaa kofia kama hiyo uko huru kufanya unalotaka ingekuwa CUF kwanza ungeliitwa mchochezi na ungekaa mahabusu bila kupelekwa mahakamani visiwni bara ni hivyo hivyo kwa hiyo msishangae zoeeni tu
 
Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,430
2,000
When man is separated from laws.....he become a beast
Watakao niandika vibaya watakufa wote...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom