Kada wa CCM na rafiki wa Mwigulu yuko juu ya sheria?

  1. Tumeona mara kadhaa Jeshi la Polisi likikimbilia mbio kuwashika watu wanaotumia mitandao ya kijamii wanaotukana viongozi wa kisiasa wanaotoka kwenye chama tawala, lakini wanapotukanwa viongozi wa Upinzani huwa wanasema hawana Intelenjesia hiyo. Hivi sasa ni wiki tokea mtu mmoja anayeitwa Abdalla Saleh aliporekodiwa anaMtukana kiongozi wa Upinzani Zanzibar, amemtukana matusi ambayo ni kikomo cha matusi na chuki isiyomithilika. Amesema kuwa kiongozi huyo analawitiwa. Bw Abdalla pia amefika kiwango cha kudhalilisha dini na waislamu kwa Ujumla na kusema kuwa Mtume Muhammad Saw alikuwa analawitiwa.

    Kuna watu wameshitakiwa kwa kmuita kiongozi wa Chama tawala BWEGE, wapo wenye kesi kwa kutamka kuwa tupambane na DIKTETE UCHWARA, lakini pia wapo waliofikishwa mahakamani na kuyimwa dhamana kwa kuhadithia ndoto zao, na zaidi ya yote wapo waliohijiwa kwa kumuita kiongozi wa chama tawala MTUKUFU.

    Bw Abdalla pamoja na kukiri makosa hayo katika video mbili bado bado anatembea kifua mbele.
View attachment 450721
Mkuu its a matter of time a man could be arrested. Crime has no politics. I use to trust Hon.Mwigulu. huwa hakurupuki anaweza kuchukuwa muda lakini naamini hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya yeyote atakaenda kinyume na kukiuka taratibu na sharia za nchi.

Wakati mwingine tusiwe na haraka kumhukumu mtu. Inahitajika hekima kubwa sana especially unapodeal na mwanadamu mwenzako ama jamii kwa ujumla. Mh.angechukua hatua ya haraka watu tungekuja humu jamvini nakusema wenyewe kwa wenywe wanaisoma namba.

Amedelay ilikutoa haki 2nasemaukiwa chama cha rangi Fulani uko above the law. Tumuachie Mh.waziri na team yake, tutapata majibu tu uzuri makosa ya jinai huwa yanadumu na pia uovu haulipi

Kikurajembe original is back for xmass & new year from abroad
 
Mtume Muhammad ni wetu sote, mbona unajitoa?
Ha ha haaaa. Faiza Foxy bwana. Tayari hapo ushaniwekea mtego. Anyway, ni wetu sote kutokana na ukweli kwamba naye alikuwa binadamu kama sisi. Kwa kiwango cha ubinadamu wetu kweli ni wetu sote. Na "uwetu sote" kwa upande wangu unaishia hapo . Bwana Yesu Kristo Ndiye wetu sote HASA!!!

Nimeingia katika mtego wako kichwa kichwa ama? Lolote liwalo sikubaliani na akisemacho huyu mgonjwa wa akili katika hiyo video.
 
Ha ha haaaa. Faiza Foxy bwana. Tayari hapo ushaniwekea mtego. Anyway, ni wetu sote kutokana na ukweli kwamba naye alikuwa binadamu kama sisi. Kwa kiwango cha ubinadamu wetu kweli ni wetu sote. Na "uwetu sote" kwa upande wangu unaishia hapo . Bwana Yesu Kristo Ndiye wetu sote HASA!!!

Nimeingia katika mtego wako kichwa kichwa ama? Lolote liwalo sikubaliani na akisemacho huyu mgonjwa wa akili katika hiyo video.
Huyu kapituka hata kama huuamini uislam kama mimi vile lkn bado kumtusi prophet Muhammad kiasi kile ni jambo ambalo halikubaliki hata kdg
 
VP waislamu hawajasikia hiyo ya mtume maana wakilianzisha tu huyo jamaa hatukuwa salama
 
Huyu amuulize mwenzake aliyecheza filam ya kumkashifu mtume,amekutwa kafa chumbani msichana wa miaka 24,na mwenzake wa aya za shetani,kapat ugonjwa wa vifiniko vya macho havifunguki,lakini sio kipofu,akitaka kutizama mpaka avifunguwe kwa vidole,kila akitibiwa siku mbili yajirudia tena.
 
Mbona mtu mwenyewe kama amedata flani
Sio mzima huyu namna anavyoongea naona kama tayari ana tatizo la kiakili, kabla hajakamatwa ndugu zake wamtafutie tiba mapema yuko kwenye hatua ya awali kwenye kuchanganyikiwa
 
Back
Top Bottom