Kada wa CCM na rafiki wa Mwigulu yuko juu ya sheria?

Ha ha haaaa. Faiza Foxy bwana. Tayari hapo ushaniwekea mtego. Anyway, ni wetu sote kutokana na ukweli kwamba naye alikuwa binadamu kama sisi. Kwa kiwango cha ubinadamu wetu kweli ni wetu sote. Na "uwetu sote" kwa upande wangu unaishia hapo . Bwana Yesu Kristo Ndiye wetu sote HASA!!!

Nimeingia katika mtego wako kichwa kichwa ama? Lolote liwalo sikubaliani na akisemacho huyu mgonjwa wa akili katika hiyo video.

Hapana, sina mtego wala sina nia ya kukutega. Mtume Muhammad Salla Allahu alayhi Wasalaam ni Mtume wa Mwenyezi Mungu aliyetumwa kwa watu wote. Msome mafundisho yake utafaidika sana kwani huyo ndiyo Mtume wa mwisho wa Mwenyeezi Mungu.

Yesu alayhi salaam naye ni Mtume wa Mwenyezi Mungu hakuna Shaka katika hilo lakini atakukana ukimpachika kuwa yeye ni Mungu. Kumbuka hilo.

Wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli,nakumfahamu Yesu Kristo ambaye umemtuma. (Yohana17:3)
 
Asante lakini huwa sina subira, muda, nafasi wala utashi wa kujiingiza katika mijadala hii isiyo na tija wala faida to yote kwangu kiimani, kifikra, kifalsafa na vinginevyo. Kwangu mimi Yesu ni Mwana wa Mungu na Mkombozi wangu Aliyenifia dhambi zangu msalabani na siku ya tatu Akafufuka, yuko hai mbinguni na siku moja Atarudi tena ili Alipo niwepo milele na milele. Hii ndiyo imani yangu na haihitaji uthibitisho wa aina yo yote wala haina mjadala. That's it na hutanisikia tena katika hili suala. Wewe amini huyo Muhammad wako (ni haki yako) na jisikie huru kuendeleza mjadala huu na wengine wenye utashi huo!
 
Hiyo rekording ilikuwa private conversation au aliyasema hayo hadharani.

Kama ni hadharani hata wewe unaweza kumfungulia mashtaka na anastahili kupelekwa mahakamani, lakini kama ilikuwa mazungumzo private , basi huyo aliyemrekodi bila ya ruhusa za Bw Abdallah ndiye mwenye hatia, kama sio mtu wa usalaama na hawana kibali cha kumrekodi.

Hata mie chumbani kwanu au chooni kwangu naweza mtukana kiongozi yoyote yule na nisicukuliwe hatua, kwanza wewe nani anakupa ruhusa ya kuja kunirekodi kwenye private property yangu. Nikikipiga mapanga itakuwaje?
 
Hiko chumba na choo chako vimekua Bunge?
Au vimekua ubalozi wa nchi nyingine?

Ukiua kwakua uko kwenye property yako kesi hakuna?

NB: Balozi akiwa eneo lake la ubalozi huhesabiwa ni nchini kwake hivyo vyombo vya usalama vya nchi husika vinakua havina mamlaka hata kama balozi anaua mtu (ilitokea nadhani Malaysia).
 
Mkuu its a matter of time a man could be arrested. Crime has no politics. I use to trust Hon.Mwigulu. huwa hakurupuki anaweza kuchukuwa muda lakini naamini hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya yeyote atakaenda kinyume na kukiuka taratibu na sharia za nchi.

Wakati mwingine tusiwe na haraka kumhukumu mtu. Inahitajika hekima kubwa sana especially unapodeal na mwanadamu mwenzako ama jamii kwa ujumla. Mh.angechukua hatua ya haraka watu tungekuja humu jamvini nakusema wenyewe kwa wenywe wanaisoma namba.

Amedelay ilikutoa haki 2nasemaukiwa chama cha rangi Fulani uko above the law. Tumuachie Mh.waziri na team yake, tutapata majibu tu uzuri makosa ya jinai huwa yanadumu na pia uovu haulipi

Kikurajembe original is back for xmass & new year from abroad
Hata ueleweki unachoandika
 
Hiko chumba na choo chako vimekua Bunge?
Au vimekua ubalozi wa nchi nyingine?

Ukiua kwakua uko kwenye property yako kesi hakuna?

NB: Balozi akiwa eneo lake la ubalozi huhesabiwa ni nchini kwake hivyo vyombo vya usalama vya nchi husika vinakua havina mamlaka hata kama balozi anaua mtu (ilitokea nadhani Malaysia).
My point ni kuwa kama mkuu wa nchi humpendi ama kazi yake haikuridhishi na chuki yako imekutuma kumtukana ( na sio kumkosoa ), ukifanya hivyo hadharani hilo ni kosa na unaweza shtakiwa. Lakini umefanya hivyo in your own private place hapo hapana kosa.

Ukitembea uchi hadharani ni kosa kama huna kichaa, chumbani kwako uko huru.
 
Ukifanya chumbani na recording ikaenda public?
 
  1. Tumeona mara kadhaa Jeshi la Polisi likikimbilia mbio kuwashika watu wanaotumia mitandao ya kijamii wanaotukana viongozi wa kisiasa wanaotoka kwenye chama tawala, lakini wanapotukanwa viongozi wa Upinzani huwa wanasema hawana Intelenjesia hiyo. Hivi sasa ni wiki tokea mtu mmoja anayeitwa Abdalla Saleh aliporekodiwa anaMtukana kiongozi wa Upinzani Zanzibar, amemtukana matusi ambayo ni kikomo cha matusi na chuki isiyomithilika. Amesema kuwa kiongozi huyo analawitiwa. Bw Abdalla pia amefika kiwango cha kudhalilisha dini na waislamu kwa Ujumla na kusema kuwa Mtume Muhammad Saw alikuwa analawitiwa.

    Kuna watu wameshitakiwa kwa kmuita kiongozi wa Chama tawala BWEGE, wapo wenye kesi kwa kutamka kuwa tupambane na DIKTETE UCHWARA, lakini pia wapo waliofikishwa mahakamani na kuyimwa dhamana kwa kuhadithia ndoto zao, na zaidi ya yote wapo waliohijiwa kwa kumuita kiongozi wa chama tawala MTUKUFU.

    Bw Abdalla pamoja na kukiri makosa hayo katika video mbili bado bado anatembea kifua mbele.
View attachment 450721
Atakayeogopa kufa kwa kauli ya Lusekelo huyo ni mpagani-Polisi
 
My point ni kuwa kama mkuu wa nchi humpendi ama kazi yake haikuridhishi na chuki yako imekutuma kumtukana ( na sio kumkosoa ), ukifanya hivyo hadharani hilo ni kosa na unaweza shtakiwa. Lakini umefanya hivyo in your own private place hapo hapana kosa.

Ukitembea uchi hadharani ni kosa kama huna kichaa, chumbani kwako uko huru.
Hapo chumbani unakua unatukana peke yako au upo na wenzio?
Kumtukana mtu chumbani au hadharani hakubadilishi kua unafanya defamation si ndiyo?

Ukipiga picha za uchi chumbani kwako zikaenda public utakua una kesi, ukiachilia mbali eneo analotukana huyo jamaa kutoonekana kua ni chumba clip imekuja kwetu public.
Yeye anaweza kumshtaki aliyeiweka online kwa kucompromise na privacy yake lakini na yeye ana kesi ya kujibu kutokana na alichoongea.

Kutembea uchi siyo kosa kisheria.
 
Mbona hii in "standup comedy" tu, serikali making haiwezi kuangaika na Sanaa hii in kazi ya BASATA ya huko zenji!
 
Asante lakini huwa sina subira, muda, nafasi wala utashi wa kujiingiza katika mijadala hii isiyo na tija wala faida to yote kwangu kiimani, kifikra, kifalsafa na vinginevyo. Kwangu mimi Yesu ni Mwana wa Mungu na Mkombozi wangu Aliyenifia dhambi zangu msalabani na siku ya tatu Akafufuka, yuko hai mbinguni na siku moja Atarudi tena ili Alipo niwepo milele na milele. Hii ndiyo imani yangu na haihitaji uthibitisho wa aina yo yote wala haina mjadala. That's it na hutanisikia tena katika hili suala. Wewe amini huyo Muhammad wako (ni haki yako) na jisikie huru kuendeleza mjadala huu na wengine wenye utashi huo!

Nnasikitika sana kukueleza kuwa yote hayo uyasemayo hayana ukweli kabisa, ujuwe ukweli utakuweka huru na kuendelea kumzulia uongo Mtume wa Mwenyezi Mungu, haifai kabisa.

Nnakusihi jisomee biblia kwa utuvu, jipatie darsa la bure kama u mkweli wa nafsi yako:

Wakristo Njooni Kwa Mungu
 
Back
Top Bottom