View attachment 342924
View attachment 342925
View attachment 342926
Habari zilizonifikia hivi punde kutoka Jijini Arusha zinahabarisha Kada Maarufu wa CCM jijini humo ndugu Ibrahimu Kafimbi amekamatwa akitapeli wafanyabiashara wa Arusha kwa kujifanya yeye ni afisa biashara na yeye ndio anakusaya hela za mabango ameshikwa na Mihuri na risiti feki za jiji la Arusha.
Huu ni mwendelezo wa Vijana wengi wa CCM wanaotapeli watu Arusha kwa kigezo wao ni maofisa wa halmashauri mtoa taarifa amehabarisha.

Amepigwa pingu mkononi, ni ishara kuwa waliomkamata ni polisi. Lakini, naona kama amevuja damu nani kampiga? Ni wananchi walimpa kipigo ndo polisi wakaingilia au ni polisi wenyewe?
I was very careful rhetorically (...ni ishara kuwa...). It seems just overlooked that craftingSina hakika na hoja kwamba kuwa na pingu mkononi ni ishara ya kukamatwa na polisi...kuna mtu mmoja wa taaluma fulani (na ambaye si polisi) miaka michache iliyopita aliwahi kukutwa na pingu...
mkuu chama chake cha ccm ndo kilimpa training...huyu jamaa ni green guard ...tangu miaka mingi amekuwa anatuibia ila hakuna pq kumshitaki.....ila tulikuwa tunasubir tu mchome moto...Nadhani huyo ni mwizi kama wezi wengine tu, wala ccm haihusiki na huo wizi,sidhani kama chama kimeidhisha matapeli
I was very careful rhetorically (...ni ishara kuwa...). It seems just overlooked that crafting
Na sio haki kabisa kujichukulia sheria mkononi na ukute ni sababu za kisiasa tu! kasingiziwa utapeli halafu wamempiga.CCM Wahakikishe haki inatendeka.Amepigwa pingu mkononi, ni ishara kuwa waliomkamata ni polisi. Lakini, naona kama amevuja damu nani kampiga? Ni wananchi walimpa kipigo ndo polisi wakaingilia au ni polisi wenyewe?
Tena anataluma ya UwandishiSina hakika na hoja kwamba kuwa na pingu mkononi ni ishara ya kukamatwa na polisi...kuna mtu mmoja wa taaluma fulani (na ambaye sit polisi) miaka michache iliyopita aliwahi kukutwa na pingu...
Mkuu nikama nzi na kinyesiNilikuwa mbali sana lkn huu Uzi umenishawishi na kunivutia hadi nikaja huku, ni asili, ni ngumu kuacha
Mkuu dondosha newshuyu ni mwizi maarufu ila CCM huwa wanamkingia kifua sasa leo zimefika siku zake.
Umeshaambiwa anajulikana kama sikoseikwa watu wa Arusha watanisahihisha huyu siyo kampany moja na Mjusi?Na sio haki kabisa kujichukulia sheria mkononi na ukute ni sababu za kisiasa tu! kasingiziwa utapeli halafu wamempiga.CCM Wahakikishe haki inatendeka.
Baada ya hiyo shati kuchanika ndio akapewahiyo ya mikono mirefuMbona ni kama picha mbili za matukio tofauti? picha ya kwanza aliyosimama nje anaonekana amevaa shati la mikono mifupi na picha ya pili aliyokaa chini kama anaomba msamaha amevaa shati la mikono mirefu na picha ya tatu inafanana na ya kwanza ,mleta habari na picha hebu tufafanulie zilikua ni picha za matukio mawili tofauti au?,halafu na picha zote anaonekana ana damu na amefungwa pingu.
Kwahiyo ccm ndio inamtuma?mkuu chama chake cha ccm ndo kilimpa training...huyu jamaa ni green guard ...tangu miaka mingi amekuwa anatuibia ila hakuna pq kumshitaki.....ila tulikuwa tunasubir tu mchome moto...
Sasa hivi tunaongelea diwani wa ccm kufanya utapeli jijini Arusha na picha yake umeonyeshwaKuna fununu ambazo zilikua zikisambaa humu kua ndugu wa karibu wa mbunge wa arusha mjini wametapeli kampuni ya mtu, hivi walishairudisha?
Matapeli, majizi na mafisadi wote wamejazana hukoNdio Shuguli za Makada wa Ccm kutapeli?