Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Habari zilizonifikia hivi punde kutoka Jijini Arusha zinahabarisha Kada Maarufu wa CCM jijini humo ndugu Ibrahimu Kafimbi amekamatwa akitapeli wafanyabiashara wa Arusha kwa kujifanya yeye ni afisa biashara na yeye ndio anakusaya hela za mabango ameshikwa na Mihuri na risiti feki za jiji la Arusha.
Huu ni mwendelezo wa Vijana wengi wa CCM wanaotapeli watu Arusha kwa kigezo wao ni maofisa wa halmashauri mtoa taarifa amehabarisha.