SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,444
Ccm na ufisadi wizi ni sawa na nzi na kinyesi
Au chupi na makalio
Ccm na ufisadi wizi ni sawa na nzi na kinyesi
Teh teh tehAu chupi na makalio
Mkuu umesahau ule usemi wa siku za mwizi ni 40Huyu jamaa...ndiye mkufunzi wa Green Guard....ndo pia alimfundisha Jummane Mjusi ,jins ya kuiba na kupiga watu.....namshukuru Sana Mungu, huyu jamaa alikuwa hakamatiki anaiba hata mchna kweupe ......
Hiyo ndio falsafa ya ccmAiseee hivi Hiki chama cha ccm nani alikipa hilo jina mbona wanaccm wanaiba sana hawana Hata huruma . Afungwe kabisa
mkamaten , si yupo . wewe badala ya kujibu hoja hapo juu unatengenezs tuhuma .Kuna fununu ambazo zilikua zikisambaa humu kua ndugu wa karibu wa mbunge wa arusha mjini wametapeli kampuni ya mtu, hivi walishairudisha?
Anzisha uzi wako wa hizo fununu hapa tunajadili Hili jangili la ccm lililokamatwa live hatujadili fununu wala maigizo . Acha ngonjera mkuuu
Ndio au hujui kuwa wanaccm wote majambazi......na wengine ni vibaka....kina jumanne mjusi na wwngine...Kwahiyo ccm ndio inamtuma?
Hilo jina au cheo cha ukada umempa wewe. Huenda hujui ili mtu awe kada wa chama cha mapinduzi anatakiwa awe na vigezo gani. Hawa wengine ni wakereketwa wa ccm tu.Ccm na ufisadi wizi ni sawa na nzi na kinyesi
wakimataifa,huo ukanda unaouanzisha unaonyesha jinsi gani kichwa unavyokitumia kufugia nywele.watu wa arusha ndio zao hakuna ccm wala chadema ni zao watu wa kskz
Ndio au hujui kuwa wanaccm wote majambazi......na wengine ni vibaka....kina jumanne mjusi na wwngine...
Ccm na sampuli ya watu wa hivyo ni sawa na nzi ns kinyesiKwa nini ahusiswe na chama ni ujinga wake tu
Ccm na wizi ni sawa na nzi na kinyesiHilo jina au cheo cha ukada umempa wewe. Huenda hujui ili mtu awe kada wa chama cha mapinduzi anatakiwa awe na vigezo gani. Hawa wengine ni wakereketwa wa ccm tu.
Kama watu kama hao wakiwa wananasibishwa na chama mbona chadema ndio imeoza. Maana panya road wote kutumia ishara za chadema. Pia makahaba wa Dar ni sehemu ya wanachadema walioitwa na Lowasa chamani wakati wa kampeni.
Kila mtu ni mharifu wa sheria hapo alipo hivyo nikujitoa akili kuuhusisha huu udhaifu na taasisi.
Vijana wa chadema sasa hivi mmeishiwa kweli hoja za kuikabili ccm kwa mambo ya msingi. Sasa mnampa promo huyu mhalifu kisa huvaa sare za ccm. Hivi huyo anayeangalia ufanisi wenu atawapengeza kwa hili la kunadi mhalifu mitandaoni?
Wacheni hizo tabiaAaaah ukiwa mmeishiwa hoja mnaleta vioja
Mungu inusuru chadema na genge lao
Ccm ni majizi wakubwaHuyu jamaa alishahamia Chadema...huna taarifa mkuu???
N.B CCM yafutika Arusha
Naona wanaume wa Arusha kama wa DarHuko Arusha hakuna Wananchi wenye hasira?.