Kwa hiyo ulitaka kuirudia kabla hujafua?yaani na utakuta ni kweli unazo mbili hiyo nyingine ilikuwa chafu au haijakauka.

Kwa hiyo ulitaka kuirudia kabla hujafua?yaani na utakuta ni kweli unazo mbili hiyo nyingine ilikuwa chafu au haijakauka.

Mkuu ishi kwa amani,hiyo haendi kuifanyia mabaya,ila jiandae kuazilika kwa Maelezo yako ni kuwa unapotezea MUDA lakini huna maisha nae.Nimewahi kusimuliwa na jamaa yangu lichotaka kufanyiwa na mwanadada mmoja wa kwa mkuu TZ.Alimfuta na kitambaa na kujifuta yeye halafu fasta akakiweka kwenye pochi yake ya mkononi,jamaa akashituka kwa kuwa sio kawaida yao,demu akaingia kuoga,jamaa akakichukua kile kitambaa,wewe ulikuwa ugomvi kukitafuta.Baadae kwa hasira demu akamwambia unabahati usingesimamisha tena kwa.....,akamtaja demu anaemhisi kuwa abatembea na jamaa.Sasa vuta subira ukiona umeenda kupiga mechi ugenini msoloboko ukagoma kuelejea nyuzi tisini,jua kwishine demu kakuweza.Pole sana..Ukiona hali hiyo muone MSHANA Jr,akishindwa akulete kwangu,tutamaliza tatizo halafu usimwambie kuwa umepona,tafuta marafiki zake gonga Mashine mana atawambia nimemuweza hasimamishi nai watataka kujaribu we Julie taratbuNiko na mpenzi ambaye tumedumu naye kwa miaka mi 3, mahusiano yetu huwa tunaachana na kurudiana, huyu msichana kiukweli ananipenda sana ila mimi simkubali sana kihivyo, huwa nampendea msambwanda wake tu na mara nyingi huwa namwita geto usiku tunalala wote mpaka asbhi kisha anarudi kwake mapema.
Jana nilimwambia aje geto mimi nikaenda zangu kutazama mpira na washikaji, niliporudi nilimkuta chumbani maana nilimwelekeza wapi ufunguo ataukuta, tukafanya yetu mpaka asubuhi alipoondoka saa 12 na hii amekuja toka miezi 3 tulipozinguana na sikuwahi kutaka kuonana naye.
Huo mda alioondoka nilimfungulia geti nikiwa nimevaa taulo, kulipopambuza nikasema nijiandae nivae ndio nakuta nguo haionekani, nimetafuta sana ila sijaiona, pia nimekuta msichana kapekua pekua sana kwenye makabrasha yangu japo mpaka sasa sijaona chochote alichoondoka nacho kwa upande huo.
Hapa nipo kazini lakini akili haiko sawa kabisa nawaza lengo la kuchukua hiyo nguo ni nini na ukizingatia baada ya tendo nilihisi kama anajifutia ukeni, nimejaribu kumtafuta hewani hapatikani.
Hiyo nguo ya ndani aliyochukua na wewe ulijifutia? Fanya haraka kunijibu nataka kukunusuru lasivyo atakukatia lukuNiko na mpenzi ambaye tumedumu naye kwa miaka mi 3, mahusiano yetu huwa tunaachana na kurudiana, huyu msichana kiukweli ananipenda sana ila mimi simkubali sana kihivyo, huwa nampendea msambwanda wake tu na mara nyingi huwa namwita geto usiku tunalala wote mpaka asbhi kisha anarudi kwake mapema.
Jana nilimwambia aje geto mimi nikaenda zangu kutazama mpira na washikaji, niliporudi nilimkuta chumbani maana nilimwelekeza wapi ufunguo ataukuta, tukafanya yetu mpaka asubuhi alipoondoka saa 12 na hii amekuja toka miezi 3 tulipozinguana na sikuwahi kutaka kuonana naye.
Huo mda alioondoka nilimfungulia geti nikiwa nimevaa taulo, kulipopambuza nikasema nijiandae nivae ndio nakuta nguo haionekani, nimetafuta sana ila sijaiona, pia nimekuta msichana kapekua pekua sana kwenye makabrasha yangu japo mpaka sasa sijaona chochote alichoondoka nacho kwa upande huo.
Hapa nipo kazini lakini akili haiko sawa kabisa nawaza lengo la kuchukua hiyo nguo ni nini na ukizingatia baada ya tendo nilihisi kama anajifutia ukeni, nimejaribu kumtafuta hewani hapatikani.
NdioHiyo nguo ya ndani aliyochukua na wewe ulijifutia? Fanya haraka kunijibu nataka kukunusuru lasivyo atakukatia luku
Kama na yeye alijifutia hiyo hiyo hakuna shida lakin km yeye hakuitumia hapo case ndiyo inakujaNdio
Hili swali nishachoka kulijibu, ziko 2 na iliyobaki ndio nimevaaKwani unayo moja tu? Mpaka ulikua unaitafuta ulovaa jana uivae tena
Ukute jamaa wala hawazii huko watu wanakofikiria..anawaza kubakiwa na boxer moja kati ya mbiliKwa hiyo ulitaka kuirudia kabla hujafua?yaani na utakuta ni kweli unazo mbili hiyo nyingine ilikuwa chafu au haijakauka.
Nakusalimia tu. Uko poa?Hahahaha!! Et mbili, nomaaa sana
braza pole aiseee funga omba Mungu kwa imani.yako akuepushe na makorombwezo aliyo kwenda kukufanyia yamludie mala7 ...mwombe sana MunguMungu Anifannyie Wepesi Ktk Hili![]()
![]()
![]()
Hapa nimeomba ruhusa job sijisikii vizur, nimefika nyumbani kwake nimeambiwa katoka tangu asbhi alafu hawajui alipoenda na simu imezimwa