Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,214
- 20,988
- Thread starter
- #81
Siwezi muoa nikiipata hiyo nguo ndio mwanzo na mwisho wa mm na yeye.Wee muoe tu asije akafanya kama yale yaliyokuwa yakifanywa 77
Siwezi muoa nikiipata hiyo nguo ndio mwanzo na mwisho wa mm na yeye.Wee muoe tu asije akafanya kama yale yaliyokuwa yakifanywa 77
Hahaha msolobokoMkuu ishi kwa amani,hiyo haendi kuifanyia mabaya,ila jiandae kuazilika kwa Maelezo yako ni kuwa unapotezea MUDA lakini huna maisha nae.Nimewahi kusimuliwa na jamaa yangu lichotaka kufanyiwa na mwanadada mmoja wa kwa mkuu TZ.Alimfuta na kitambaa na kujifuta yeye halafu fasta akakiweka kwenye pochi yake ya mkononi,jamaa akashituka kwa kuwa sio kawaida yao,demu akaingia kuoga,jamaa akakichukua kile kitambaa,wewe ulikuwa ugomvi kukitafuta.Baadae kwa hasira demu akamwambia unabahati usingesimamisha tena kwa.....,akamtaja demu anaemhisi kuwa abatembea na jamaa.Sasa vuta subira ukiona umeenda kupiga mechi ugenini msoloboko ukagoma kuelejea nyuzi tisini,jua kwishine demu kakuweza.Pole sana..Ukiona hali hiyo muone MSHANA Jr,akishindwa akulete kwangu,tutamaliza tatizo halafu usimwambie kuwa umepona,tafuta marafiki zake gonga Mashine mana atawambia nimemuweza hasimamishi nai watataka kujaribu we Julie taratbu
Yote mawili muhimu .Ukute jamaa wala hawazii huko watu wanakofikiria..anawaza kubakiwa na boxer moja kati ya mbili
Ni Kabila gani huyo Mwanamke ili nikfafanue na pigoo utakalo pata....
MnyamweziNi KABILA GANI huyo mdada? Kichungiiiiii![]()
Hahahaha Amegeuka amekua MNYA CHUPIIIIIIIMnyamwezi
Kha! mbona unajishusha uende ukasafishe nyota basi.Sina qualifications za kupendwa Na wanawake

Kuna mwanamke alimwambia mwanaume wake...."ukiniacha nnakuroga"
Nguo ya ndani kwa huku Africa =kizazi.
Nyota ile sigara ya bei Chee?Kha! mbona unajishusha uende ukasafishe nyota basi.



Nadhani huo ndio ukweli mengine yote wanakutakutania na kukufariji,Cha muhimu mwambie "rudisha nguo yangu haraka kabla sijawaambia nyumbani tusijelaumiana" tena irudi kama ulivyoichukua" halafu unakata simu bila kusubiri jibu, hiyo ni tiba tosha na usimrudie tena, arudishe asirudishe wewe usihangaike naye tena ukiweza mpigie haraka tu ajue umejuaWakuu muwe mnaangalia namna nzuri ya kumshauri mtu bila kumuongezea tatizo.
Kwani unafikiri uoga wake ni nini?kwamba kesho atavaa nini?na hata akifua haitakauka.haa haaa ila kuwa na mawazo negative juu ya kuchukuliwa noxer kwa ameenda kukutengeneza itakuwa hivyo kweli utatengenezeka hata kama hajafanya kitu.So try to be positive.Labda alibeba akafue.Ukute jamaa wala hawazii huko watu wanakofikiria..anawaza kubakiwa na boxer moja kati ya mbili
Hahahahah!,nyota waziri yule mke wa mzee wa njenje.Nyota ile sigara ya bei Chee?
Inawezekana unatabia Kama ya huyo jamaa kwenye Avatar yakoSina qualifications za kupendwa Na wanawake
Tayari kichwa kimeshaliwaNiko na mpenzi ambaye tumedumu naye kwa miaka mi 3, mahusiano yetu huwa tunaachana na kurudiana, huyu msichana kiukweli ananipenda sana ila mimi simkubali sana kihivyo, huwa nampendea msambwanda wake tu na mara nyingi huwa namwita geto usiku tunalala wote mpaka asbhi kisha anarudi kwake mapema.
Jana nilimwambia aje geto mimi nikaenda zangu kutazama mpira na washikaji, niliporudi nilimkuta chumbani maana nilimwelekeza wapi ufunguo ataukuta, tukafanya yetu mpaka asubuhi alipoondoka saa 12 na hii amekuja toka miezi 3 tulipozinguana na sikuwahi kutaka kuonana naye.
Huo mda alioondoka nilimfungulia geti nikiwa nimevaa taulo, kulipopambuza nikasema nijiandae nivae ndio nakuta nguo haionekani, nimetafuta sana ila sijaiona, pia nimekuta msichana kapekua pekua sana kwenye makabrasha yangu japo mpaka sasa sijaona chochote alichoondoka nacho kwa upande huo.
Hapa nipo kazini lakini akili haiko sawa kabisa nawaza lengo la kuchukua hiyo nguo ni nini na ukizingatia baada ya tendo nilihisi kama anajifutia ukeni, nimejaribu kumtafuta hewani hapatikani.