Kachukua nguo yangu ya ndani

Kachukua nguo yangu ya ndani

Pole mkuu inawezekana labda kachukua tu kwa mapenzi kwako ili awe anaiangalia tu usiwaze mambo za kurogwa

Mi mwenyewe huwa napenda ku collect pichu za wachuchu hususan hawa wa JF ninaowatafunaga.

Nina g-strings, za maua maua, bukta, na hadi grandma underwear.

Siku mashetani yakinipanda nitaweka picha moja baada ya nyengine muone zilivyo.

Teh teh teh.
 
Acha urogwe tu..... Hla kwasababu ana bonge LA chura Nipe namba yake Mimi babu yangu ni mganga atasolve
 
Kaka Kwa mwanaume ni Rahisi sana kurogwa na shahawa zako ila kwa vile umejua mapema mwambie akurudishie nguo yako ya ndani atajua umejua atashindwa kuifanyia kazi mtumie hata Sms ikiwasha simu ataiona ataogopa pia mwambie asije tena bila nguo.
 
Mzee baba tayari yaani hapo unajifanya unampenda ili achelewe kwenda kufanya mambo huku unatafuta namna ya kujinasua vinginevyo ushaliwa oooh!
 
Taja jina lake tupihe lamli apa ili nikupe majibu fasta tujue tunafanya nin ili mnikisaidie
 
Mi mwenyewe huwa napenda ku collect pichu za wachuchu hususan hawa wa JF ninaowatafunaga.

Nina g-strings, za maua maua, bukta, na hadi grandma underwear.

Siku mashetani yakinipanda nitaweka picha moja baada ya nyengine muone zilivyo.

Teh teh teh.
usisahau kuweka na yangu eti na me nipo kwenye list ya kuliwa na Ngabu khaaa jf imenishinda hata no yako sina sijui tutakulana kwenye ndoto
 
Anataka tu akupe stress ili uogope kumuacha tena maana utaogopa kulogwa.
 
usisahau kuweka na yangu eti na me nipo kwenye list ya kuliwa na Ngabu khaaa jf imenishinda hata no yako sina sijui tutakulana kwenye ndoto

Whaaaat!!!

Nani kakuweka kwenye hiyo list Shualina?

Hahahahahaaa aiseee!!!
 
Kama inamtosha mwache avae akija tena atakuletea mkuu au muombe yake nawe vaa
 
Akija tena mpe nyingine mwambie hii pia imechafuka kama ile ya kwanza atakuelewa tu.
 
Hiyo mitazamo hakuna mwenye uhakika nayo hata mmoja. Pengne ameichukua iwe km kumbukumbu kwake maana mwenyew ulishasema kuwa anakupenda sana.
 
Back
Top Bottom