mbalizi1 hiyo avatar yako umenitisha kweli rafiki
Akikushika kisawasawa itakuwa safi sana ili utulie naye. We unamfanya tuuuu halafu unasema ooh sina mipango nae ,kiaje sasa!?

