Kachukua nguo yangu ya ndani

Kachukua nguo yangu ya ndani

Bila shaka ameenda kukufulia mkuu subir atakuletea acha kuamini katika ushirikina
 
Oy brother Nikwambie tu ukweli huyo anaenda kukufanyia makolombwezo Kwa Sangoma... Based on true story kuna mwana wangu alikua na demu wake huyo demu alikua na kiburi balaa msela afurukuti jamaa akimwambia demu tuachane demu anajibu shortcut "poa"......baada ya Hapo msela anaumia kinoma yani then msela anaanza kuomba msamaha tena.... Ikitokea Tatizo huyo demu alikua anapenda kusema "bifuna miame wewe "".....(Labda mshana anaweza kuelewa Hii lugha).....siku kiliponuka msela akashauriwa kwenda Kwa mganga nikamsindikiza japo sikuwai kufika Kwa Sangoma... Sangoma akamwambia Kua huyo demu alimfunga Kwa madawa it means huyo demu alichukua nguo aliotumia kufuta shahawa ukeni, probably Huwa ni nguo ya ndani..... Solution, mganga akamwambia Kama unataka ufunguliwe nawewe Tafuta nguo uliotumia kufuta mlipokua mna sex... Hilikua ni msala Bob bahati nzuri ilipatikana,msela Now yuko huru amwazi tena Yule binti wala nini

Nb: usiende Kwa Sangoma omba Sana alafu usiwe na mawazo ya kulogwa utakua free hila Kwa Maelezo yako 99% anaenda kukupiga kimbora calm down brother.........
 
Kwa hiyo ulitaka kuirudia kabla hujafua?yaani na utakuta ni kweli unazo mbili hiyo nyingine ilikuwa chafu au haijakauka.
Mkuu nishakujibu kwamba ziko 2 na moja ndio nineivaa hapa ila haikuwa chafu .
 
Oy brother Nikwambie tu ukweli huyo anaenda kukufanyia makolombwezo Kwa Sangoma... Based on true story kuna mwana wangu alikua na demu wake huyo demu alikua na kiburi balaa msela afurukuti jamaa akimwambia demu tuachane demu anajibu shortcut "poa"......baada ya Hapo msela anaumia kinoma yani then msela anaanza kuomba msamaha tena.... Ikitokea Tatizo huyo demu alikua anapenda kusema "bifuna miame wewe "".....(Labda mshana anaweza kuelewa Hii lugha).....siku kiliponuka msela akashauriwa kwenda Kwa mganga nikamsindikiza japo sikuwai kufika Kwa Sangoma... Sangoma akamwambia Kua huyo demu alimfunga Kwa madawa it means huyo demu alichukua nguo aliotumia kufuta shahawa ukeni, probably Huwa ni nguo ya ndani..... Solution, mganga akamwambia Kama unataka ufunguliwe nawewe Tafuta nguo uliotumia kufuta mlipokua mna sex... Hilikua ni msala Bob bahati nzuri ilipatikana,msela Now yuko huru amwazi tena Yule binti wala nini

Nb: usiende Kwa Sangoma omba Sana alafu usiwe na mawazo ya kulogwa utakua free hila Kwa Maelezo yako 99% anaenda kukupiga kimbora calm down brother.........
Mungu Anifannyie Wepesi Ktk Hili

Hapa nimeomba ruhusa job sijisikii vizur, nimefika nyumbani kwake nimeambiwa katoka tangu asbhi alafu hawajui alipoenda na simu imezimwa
 
Nawewe tafuta yake.....Iwe ngoma droo mzeebaba
 
Niko na mpenzi ambaye tumedumu naye kwa miaka mi 3, mahusiano yetu huwa tunaachana na kurudiana, huyu msichana kiukweli ananipenda sana ila mimi simkubali sana kihivyo, huwa nampendea msambwanda wake tu na mara nyingi huwa namwita geto usiku tunalala wote mpaka asbhi kisha anarudi kwake mapema.

Jana nilimwambia aje geto mimi nikaenda zangu kutazama mpira na washikaji, niliporudi nilimkuta chumbani maana nilimwelekeza wapi ufunguo ataukuta, tukafanya yetu mpaka asubuhi alipoondoka saa 12 na hii amekuja toka miezi 3 tulipozinguana na sikuwahi kutaka kuonana naye.

Huo mda alioondoka nilimfungulia geti nikiwa nimevaa taulo, kulipopambuza nikasema nijiandae nivae ndio nakuta nguo haionekani, nimetafuta sana ila sijaiona, pia nimekuta msichana kapekua pekua sana kwenye makabrasha yangu japo mpaka sasa sijaona chochote alichoondoka nacho kwa upande huo.

Hapa nipo kazini lakini akili haiko sawa kabisa nawaza lengo la kuchukua hiyo nguo ni nini na ukizingatia baada ya tendo nilihisi kama anajifutia ukeni, nimejaribu kumtafuta hewani hapatikani.
Naogopa kukuambia ukweli. Ingawa unatakiwa ku-relax
 
Kampelekea bibi yake wala usiwaze sana Mkuu
 
Back
Top Bottom