Kachukua nguo yangu ya ndani

Kachukua nguo yangu ya ndani

Ngoja akakukomeshe maana alishaona nia yako ovu,huwezi sema eti umempendea msambwanda,afadhali maana inaonesha amegoma kuendelea kuwa kipoozeo chako
 
Niko na mpenzi ambaye tumedumu naye kwa miaka mi 3, mahusiano yetu huwa tunaachana na kurudiana, huyu msichana kiukweli ananipenda sana ila mimi simkubali sana kihivyo, huwa nampendea msambwanda wake tu na mara nyingi huwa namwita geto usiku tunalala wote mpaka asbhi kisha anarudi kwake mapema.

Jana nilimwambia aje geto mimi nikaenda zangu kutazama mpira na washikaji, niliporudi nilimkuta chumbani maana nilimwelekeza wapi ufunguo ataukuta, tukafanya yetu mpaka asubuhi alipoondoka saa 12 na hii amekuja toka miezi 3 tulipozinguana na sikuwahi kutaka kuonana naye.

Huo mda alioondoka nilimfungulia geti nikiwa nimevaa taulo, kulipopambuza nikasema nijiandae nivae ndio nakuta nguo haionekani, nimetafuta sana ila sijaiona, pia nimekuta msichana kapekua pekua sana kwenye makabrasha yangu japo mpaka sasa sijaona chochote alichoondoka nacho kwa upande huo.

Hapa nipo kazini lakini akili haiko sawa kabisa nawaza lengo la kuchukua hiyo nguo ni nini na ukizingatia baada ya tendo nilihisi kama anajifutia ukeni, nimejaribu kumtafuta hewani hapatikani.
Mkuu una boxer moja? Wanaume wa mikoani shida sana!
 
Tayari Keisha kazi anakuroga utakuwa na kibamia
 
Haina shida mkuu, hapo upo safe kama alifutia tu nyeti zake haina shida. She will shoot on her own foot. we nenda karume ukanunue nyingine moja.
 
Back
Top Bottom