Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

Mkuu maybe upo sahihi kwa mtazamo wako!!! Lakini nataka nikwambie kuwa kiongozi mkuu kwenye nchi sio mchezo jamaa angu.... Yani kuna maamuzi unalazimika kuchukua kwa maslai ya taifa!!! Nikuulize ilikuwa ni sahihi lissu kutetea wazungu kwenye wizi wa madini??? Na kama wewe ungekuwa ni raisi ungefanyaje?? Note sihalalishi kuuwa lakini pia hakuna anaejua lissu ni nani muhusika mpaka now.... Ni kama mama saizi na issue ya mbowe unafikiri angefanyaje??? Au ungekuwa wewe ungefanyaje mkuu?

Nadhani hujui historia ya lisu na kutetea Madini kuchimbwa na wazungu.
Kasome harakati za Lisu kuhusu Madini kipindi cha Mkapa
 
Ule mjadala uliokuwa na husuda, matusi, kejeli na kila aina ya dhiaka kutokana na yale mabati yaliyokuwa yamezungushwa pale kwenye kaburi la late Legendary Pombe, jana kama siyo leo umeweka wazi.


IMG_20211014_192118.jpg
 
Back
Top Bottom