Kabudi ndiyo Goebbels wa leo

Mkuu hata mimi sielewi anabebwa na nini wengine wanasema msambwanda, wengine wanadai ndiye mkuu wa wasiojulikana na kuna wanaosema ndiye mkuu wa idara ya kamati ya ufundi.
Hamna mwenye sifa zote tatu. Ndiyo maana ni ngumu kumtema.

Halafu kijana Manula anatafuta ugomvi na Stone.
 
Anyway Chama kilichojengwa na waasisi na wapigania uhuru kimekuja kusambaratishwa na Wala miwa wawili hii ni rekodi nyingine
 
Midhali hatujaweza kujitegemea miaka yote hii tangu Uhuru, bado tunategemea misaada, basi hatuna jeuri bali tutatii matakwa ya Beberu tu, hata tujifarague vipi
 
Ukifuatilia matamshi na matendo yake, ni dhahiri Kabudi ndiyo Goebbels wa leo.
Wakati Adolf Hitler akiwa kwenye kilele chake, alikuwa na mpiga propaganda huyo- Goebbels.
Kabudi anataka kumpiku Goebbels.
Nachukua nafasi hii kutangaza hadharani kumdharau moja kwa moja Palamagamba Kabudi katika kipindi chake chote kifupi kilichosalia hapa duniani .

Eee Mwenyezi Mungu nisaidie .
 
Atapiga tu anafikiri hizi ni enzi za Cold war zile enzi za kuringa na kujifanya kususia nchi za Magharibi wakati huohuo unawapigia simu umoja wa Sovieti zimeshapita.
Kumbe mnaoenda tuwapigie magoti
Siamini jamani siamini kama kuna watanzania wenye mawazo kama yako
 
Nachukua nafasi hii kutangaza hadharani kumdharau moja kwa moja Palamagamba Kabudi katika kipindi chake chote kifupi kilichosalia hapa duniani .

Eee Mwenyezi Mungu nisaidie .
Nachukua nafasi hii kutangaza hadharani kumkubali moja kwa moja Prof.Kabudi..
Nilikuwa najiuliza wa kumrithi JPM.. sasa namuona Kabudi akitosha kabisa
Nimeangalia hotuba zake kweli ni kiongozi shupavu
 
Nani alitaka kumgonga mke wa jiwe?!
 
".Lazima Tuwe Na Wagombea Wenye Haiba Wanaokimbiliwa Na Watu, Hatutaki Uchaguzi Wa Kutoa Jasho Tunataka Ukibonyeza Inawaka Basi, Mgombea Una Mnadi Mpaka Unapiga Push-Ups Hapana Tupeleke Wagombea Ambao Ni Hitaji La Wapiga Kura.”-Kheri James, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa
 
Hivi bado hajatekwa hadi muda huu ?
 
Hivi huyu kabudi na wenzake wanawajua vizuri mabeberu na ubeberu wao ?
 
Hujui lolote na ukae kimya
 
Kama unatoa masharti hivyo sasa si ujitegemee basi, nani amekwambia uwe masikini ndio uanze kutembeza bakuli. Hakuna atakayekubembeleza na msaada, umasikini wako ndio unakufanya uwe ombaomba
 
Kwanini wapinzani wa Magu mna chukia sana mkisikia suala la kujitegemea?

Ina maana nyie mko tayari kuuza hata tigo zenu ili mpewe misaada?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…