Kabudi ndiyo Goebbels wa leo

Kuna mdada aliikimbiza gari yangu pale ambiance jana usiku nimemfananisha nawe
Kwanini wapinzani wa Magu mna chukia sana mkisikia suala la kujitegemea?

Ina maana nyie mko tayari kuuza hata tigo zenu ili mpewe misaada?
 
Mkuu hata mimi sielewi anabebwa na nini wengine wanasema msambwanda, wengine wanadai ndiye mkuu wa wasiojulikana na kuna wanaosema ndiye mkuu wa idara ya kamati ya ufundi.
Kijana ana Siri nzito
 
Goebbels alikuwa na akili huyu propaganda zake hata mtu wa mashambani huko hadanganyiki. Anatoa tu mimacho
Si kuwa Nina wa outsmart Wabunge na wateuliwa waliotoka mkoa wa Dodoma Ila ikiacha Mh Mavunde na Simbachawene ni kama vile waliobakia wakati mwingine ni kama vile vichwa vyao kuna wakati vinashindwa kuchuja au karuhusu nini vinywa vyao vitamke na nini visiseme... matokeo yake hisia na mihemko huzidi/ hutawala zaidi kuliko busara ya kichwa au hata elimu yao... mf mwenye jengo wake.. kibajaji, huyu Mh Mwalimu mbobezi wa sheria nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…