Kabrasha: Jiko la kuoka wafu (cremation)

Kabrasha: Jiko la kuoka wafu (cremation)

Naomba kuuliza uchomaji huu ni tofauti na uchomaji wa wahindi?

Kama wafanyavyo pale makaburi ya Ismail Karibu na makumbusho
Dhana ni ile ile ila vitendea kazi tofauti... Furnace ya kisasa ya gesi ni bei ghali sana lakini ni nzuri kwakuwa haichafui mazingira kwa namna yoyote ile iwe moshi ama harufu
 
Duh kaaka ndio maana mambo ya kichawi unayajua vizuri sana kazi hiyo na uchawi mwake mwake kabisa upo vizuri hebu tupe mrejesho wewe umewahi kumuibia marehemu nini?
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji144][emoji114][emoji114][emoji114]hapana kabisa muibie aliye hai kama una hizo tabia... Marehemu haibiwi... Ukifanya hivyo hutaishiwa na wenge (sio muzika ama bcbg) wenge hasa
 
Ndio maana umedaka BMW kumbe ilikuwa zawadi [emoji12]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji144][emoji144][emoji144][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshana ngoja nijichange ninunue hilo jiko la gesi halafu tupige kazi pamoja.
Nnaimani kwa uzoefu ulionao tutapiga pesa ndefu sana.
Ni project kubwa lakini yenye faida pia.. Fanya mambo mimi kiwanja ninacho
 
Mimi huwa nawaza tu, sijui haya mawazo huwa nayatoa wapi, eti huwa nawaza kwa mfano mtu uzikwe harafu gafla upate fahamu ukiwa ndani ya jeneza, hilo joto lake sijui litakuwaje, nazani utakufa kifo kibaya zaidi[emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom