Kabrasha chumba cha kunyongea

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
161,302
2,000
Kuna kitu kinaitwa Hung man's noose yenyewe imekaaje?
Sijaiona kwenye hizi official
downloadfile-2.jpeg
 
manizzle

JF-Expert Member
Apr 29, 2015
3,433
2,000
Noma sana. Anaelewa na kupewa misosi ahitakayo ni mnyongwaji au mnyongwaji? Naona kama kuna mkanganyiko hapo.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
161,302
2,000
Noma sana. Anaelewa na kupewa misosi ahitakayo ni mnyongwaji au mnyongwaji? Naona kama kuna mkanganyiko hapo.
Mnyongwaji anahudumiwa kila kitu akipendacho... Inaitwa karamu ya mwisho
Mnyongaji anapumzika akijiandaa kutoa roho hivyo anapewa vilevi alirelax
 
manizzle

JF-Expert Member
Apr 29, 2015
3,433
2,000
Mnyongwaji anahudumiwa kila kitu akipendacho... Inaitwa karamu ya mwisho
Mnyongaji anapumzika akijiandaa kutoa roho hivyo anapewa vilevi alirelax
Kwa hiyo anajua kabisa kesho ananyongwa? Fanya mpango udoondoshe hiyo part 2 kaka mkubwa
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,473
2,000
Kwa wenzetu walioendelea bado wanazidi kuboresha adhabu ya kifo kwa
Kukuwekea chumba kizuri chenye AC na manukato
Taa nzuri
Kitanda cha stainless steel
Godoro la gharama
Mikanda laini ya pure leather
Sindano ya usingizi
Sindano ya kuondoa maumivu
Sindano ya sumu
Mchomaji expert nknk
duh
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
161,302
2,000
SEHEMU YA PILI
Hii inahusika na vituko na simulizi za wanyongwaji
Vituko, waoga, wakorofi wapo popote duniani na simulizi zenye simanzi sana pia hazikosekani

Mfungwa mmoja huyu alikuwa gereza la Isanga, huyu jamaa naweza kuamini kwa hakika hakuua bali figisu ana ushahidi vilimfunga
Huyu jamaa aligoma kabisa kula mpaka alipoitiwa rafiki yake mmoja askari ndio akakubali kula wali kuku... Chakula hiki kilitoka Dodoma hotel na aliletewa vipapatio vya kutosha... Hata neno lake la mwisho alisema ananyongwa bila hatia
Mwingine alikuwa ni binti mmoja huyu aliuwa mwanae... Kama kuna msamaha baada ya kuhukumiwa na hati kusainiwa huyu binti angekuwa mmojawapo.... Alilia sana na kujutia sana na kuomba misamaha yote lakini haikusaidia.. Alikula kitanzi
Wengine. Walikuwa wana fulani hivi kesi ya robbery na mauaji.. Hawa walidai chai ya maziwa mikate yenye siagi na mayai ya kukaanga wapewe alfajiri... Walitimiziwa... Walikufa wakiwa wameshiba kabisa
Mmasai mmoja baada ya kugoma siku nzima kuagiza apendacho usiku alikuja kuagiza damu mbichi ya beberu... Jamaa walimletea lakini walimmaind sana.....
Mwingine alikuwa ni mzee mmoja alikuwa mchawi sana.. Huyu kitanzi kilidunda na alikaa na kitanzi dakika 45 nzima ndio akakata roho... Yule mnyongaji ilibidi amkanyage mgongoni mara 45 (anajua mwenyewe kwanini alifanya hivyo......
Makala ni ndefu bado

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom