Kabrasha chumba cha kunyongea

Kabrasha chumba cha kunyongea

Hili ndilo vazi na shoka lililokuwa la Giovanni Bugatti, ambaye aliwahi kuwa mnyongaji rasmi wa Papa kuanzia 1796 hadi 1864. Katika kipindi chote cha kazi yake kama mnyongaji, alitekeleza jumla ya mauaji 514.
FB_IMG_1704003182694.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwimbie Nyumbani Kabla Sijafa
Askari alimwongoza mfungwa kupitia korido hadi hukumu yake
Nikasimama kumuaga kama walivyofanya wote
Nikasikia akimwambia askari kabla hajafika kwenye selo yangu:
“Mruhusu rafiki yangu anayecheza gitaa atende ombi langu.”
Mwimbie nyumbani kwa wimbo niliouzoea kusikia
Ufanye kumbukumbu zangu za zamani ziwe hai tena
Nichukue mbali urudishe miaka nyuma
Mwimbie nyumbani kabla sijafa
Nawakumbuka Jumapili iliyopita, asubuhi
Kwaya kutoka upande wa pili wa mtaa walikuja
Kuimba nyimbo kadhaa za injili za zamani
Nikasikia akiwambia waimbaji:
“Kuna wimbo mama yangu alikuwa akiimba
Naweza kuusikia mara moja kabla hatujaondoka?”
Mwimbie nyumbani, ule wimbo mama yangu aliimba
Ufanye kumbukumbu zangu za zamani ziwe hai tena
Nichukue mbali urudishe miaka nyuma
Mwimbie nyumbani kabla sijafa
Mwimbie nyumbani kabla sijafa
Credit: @elli
 
Back
Top Bottom