Kwahiyo Bwana Mnyongaji akichemka kujitetea kuhusu vifungu,naye huishia kitanzini?
Na je wakati akijitetea huwa ktk hali ya pombe au?mana umeandika Jana yake hukesha chumbani akijidunga vyombo
Kikishindikana kitanzi kama kuteleza ama kushindwa kunyonga kuna nyundo kama rungu, unapigwa utosini moja tu, kama bado basi sindano ya sumu (ndio maana huwepo madaktari wa kuthibitisha kifo ama wa kukumalizia)