Kabrasha chumba cha kunyongea

Wanyongaji huwa ni watu wenye utimamu wa akili na kama ni kweli huwa hawapati effects zozote maishani mwao kutokana na kazi zao hizo.

Vipi upande wa huruma zao zikoje.
Hapana hiyo haipo.... Maranyingi kama si zote unyongaji hufanyika asubuhi kabla ya saa tatu
 
Wanyongaji huwa ni watu wenye utimamu wa akili na kama ni kweli huwa hawapati effects zozote maishani mwao kutokana na kazi zao hizo.

Vipi upande wa huruma zao zikoje.
Wao wanatimiza tu agizo aliyepitisha hukumu ni mwingine na hata maandalizi yamefanywa na wengine pia
 
je hukumu ya kunyongwa na kunyongwa hadi kufa ni vitu viwili tofauti
Ndio lakini hakuna hukumu ya kunyongwa tu bali kunyongwa hadi ufe ndio maana anakuwepo daktari maalum kuthibitisha kifo na kusaini hati ya kifo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom