Guerreiro
JF-Expert Member
- Dec 22, 2018
- 736
- 1,135
Unaogopa kufa? Kufa ni kitu gani hadi uogope!Na itakuwa hivyo ndugu wala usihofu,endelea kuomba viwe vipande 600,hivyo 300 tayari usha pokea ,
Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
Unaogopa kufa? Kufa ni kitu gani hadi uogope!Na itakuwa hivyo ndugu wala usihofu,endelea kuomba viwe vipande 600,hivyo 300 tayari usha pokea ,
Unaogopa kufa? Kufa ni kitu gani hadi uogope!
Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
MI naijua kazi yakokuna siku mkiifahamu kazi yangu halisi mtanikimbia wote
![]()
Ni #191Post no #121
Siogopi mkuu,ila nakazia tu usha pokea , uwe na amani


Itakuwa vizuri. Nakuombea ufe kwa kuhara damu.
Mhudumu chumba cha mahututi
Mhudumu chumba cha mahututi
Mhudumu chumba cha maiti
Msaidia kufa kwa wasiopenda kufa
Sent using Jamii Forums mobile app




Hapo kuna jamaa alikuwa cjui anamuuliza kama kitanzi kimemkaba vizuri, kuna dialogue walifanya hapo kisha Saddam akatikisa kichwa
Bwana jela ni sehemu tu ya shahidi mahakamani, Ila mshatakiwa ni aliyenyongaOk ngoja nisibishe sana ila nalifanyia kazi
Kwa kuboresha tu, vibaka wa mtaani kwetu walinikaba/nyonga shingoni hadi nikakata net kwa dk 2 Nilipozinduka sikuona mtu, nimebaki mweupee na sauti ilikata kwa siku nne!.nadhani ni vitu viwili tofauti ndio maana wanasema 'kunyongwa hadi kufa'.