Hii dunia ina watu wengi sana wenye roho mbaya kiasi ambacho kazi kama hii inagombaniwa na wengi mno. Nina uhakika hata wangesema watu wa kunyonga bila malipo wangepata.
Mnyongwaji hana uamuzi wa
. gereza
. adhabu
. mnyongaji
Bali siku ya mwisho hupewa uchaguzi wa kula apendacho, kunywa apendacho, hata sigara (sio kubwa) hupewa kwa idadi ya kutosha.. Na hata nyimbo anaweza kupigiwa hata Nyegezi
Ingawa kazi hii maalumu hufanywa kwa mujibu wa sheria, baada ya kumaliza walikuwa wananipeleka mahakamani na kunisomea mashtaka kama muuaji mwingine yeyote. Lakini nilikuwa najibu kuwa mimi nimeua kwa mujibu wa sheria.
Baadaye utaratibu huo ulibadilishwa baada ya Serikali kuona kuwa kusomewa mashtaka mbele ya mahakama huku kukiwa na raia kunaweza kuhatarisha maisha yetu. Baadaye wakabadilisha nikawa nasomewa mashtaka mbele ya mkuu wa magereza tu.
Nikimaliza kusomewa mashtaka na mimi nilikuwa najitetea kwa kutumia vifungu vya sheria, basi naachiwa huru na kuendelea na kazi zangu.
kazi ya kuwapokea waliomaliza safari yao ya maisha ya mwili, nyama, mifupa na damu hapa duniani (mortuary attendant) au ukipenda uiite KAZI MAALUMU japo sio unyongaji. nahisi ni mule mule. kunradh Mshana Jr