teh tehe teeehe...............imenkumbusha mbali sana nlitongoza kwa barua basi yule binti akapeleka kwa mwl. wa darasa nlichezea stiki siku hiyo
ilikuwa issue kweli nakumbuka jamaa alikubaliana na binti aende usiku usawa wa chumba cha msichana halafu agonge ukuta na jiwe akisikia msichana atatoka bahati mbaya alivyogonga akawa akatoka babaake binti we acha tu!
halafu ilikuwa mwingine mwizi wa mke wa jamaa fulani walikuwa namtindo wanakutana na mwanamke huyo jikoni usiku wakati jamaa kalala wanamaliza mchezo,siku moja mumewe wa mwanamke aliishiwa kiberiti cha sigara akaamua kwenda kuwasha fegi yake jikoni akavaa khanga akatoka kwenda jikoni akainama kuwasha sigara yake basi yule mwizi akasogea akamwambia leo umeamua kunipa kichuma mboga? basi hiyo ikawa ndo sentensi yak ya mwisho na alikuwa ameshafungua na zipu.