Kabla ya mitandao

Mabagala

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,481
324
Enzi izo.jpg
asset.php
 
Mabagala

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
1,481
324
Hahahaa, mi nakumbuka nilikuwa mwoga sana wa wanawake. niliwahi kuandika barua ila iliishia njiani niliogopa kumpelekea! kizazi cha sa ivi wana raha sana. wana simu, facebook na mamitandao mengi mengi tu ya kujiexpress
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,195
1,336
teh tehe teeehe...............imenkumbusha mbali sana nlitongoza kwa barua basi yule binti akapeleka kwa mwl. wa darasa nlichezea stiki siku hiyo

Ubaya wa hii kitu ni ushahidi unaobakia yaani hata mkikosana kesho au keshokutwa kunakuwa na ushahidi wa kukufunga.... ha ha haa..., lakini jamaa nimependa alivyosema..... "Nakupenda kufa kupona, tafadhali kama hutaki usiambie mtu..., uniambie mwenyewe.... Haki ya Mungu Nakupenda...."

Ha haa haaa..., Kaazi Kweli Kweli....
 
Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,180
14,319
safi sana hiyo na ilikuwa true love sio ya siku hizi facebook mnaambiana mnapendana bila hata kujuana wala kuonana sura
 
wende

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
714
65
Hiyo ilikuwa njema sana. Barua ya mapenzi bila ile picha ya moyo wenye mkuki was not possible. Na yale maua ya kawaida yaliyochorwa on the whole page ilikuwa ni kwa kila wapendanao. Hakika hii ilikuwaga ni very fantastic and amaaaaaaaaaaazing!
 
mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,378
7,472
Du hapo kisichoonekana ni poda tu,long time wajameni,pia kulikuwa na vitu tunaita album,tulikuwa tunakata vipande vya manila vya rangi mbalimbali na kuunganisha na gundi ,vinakuwa kama vi notebook humo ndio unaweka picha na kuandika maneno ya malavu lavu na kuchora mauwa.Enzi hizo sukari ilikuwa haijaingia shubiri
 
simtami

Member
Aug 22, 2011
28
4
ilikuwa issue kweli nakumbuka jamaa alikubaliana na binti aende usiku usawa wa chumba cha msichana halafu agonge ukuta na jiwe akisikia msichana atatoka bahati mbaya alivyogonga akawa akatoka babaake binti we acha tu!

halafu ilikuwa mwingine mwizi wa mke wa jamaa fulani walikuwa namtindo wanakutana na mwanamke huyo jikoni usiku wakati jamaa kalala wanamaliza mchezo,siku moja mumewe wa mwanamke aliishiwa kiberiti cha sigara akaamua kwenda kuwasha fegi yake jikoni akavaa khanga akatoka kwenda jikoni akainama kuwasha sigara yake basi yule mwizi akasogea akamwambia leo umeamua kunipa kichuma mboga? basi hiyo ikawa ndo sentensi yak ya mwisho na alikuwa ameshafungua na zipu.
 
Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
353
156
Ha ha ha... Umechukua yangu nini? Coz nakumbuka niliwah kumwandikia dem ya hvhv ila nikaogopa kumpa ikaishia kuchafuliwa na utonvu wa maembe2 mfukon he he he..
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,195
1,336
ilikuwa issue kweli nakumbuka jamaa alikubaliana na binti aende usiku usawa wa chumba cha msichana halafu agonge ukuta na jiwe akisikia msichana atatoka bahati mbaya alivyogonga akawa akatoka babaake binti we acha tu!

halafu ilikuwa mwingine mwizi wa mke wa jamaa fulani walikuwa namtindo wanakutana na mwanamke huyo jikoni usiku wakati jamaa kalala wanamaliza mchezo,siku moja mumewe wa mwanamke aliishiwa kiberiti cha sigara akaamua kwenda kuwasha fegi yake jikoni akavaa khanga akatoka kwenda jikoni akainama kuwasha sigara yake basi yule mwizi akasogea akamwambia leo umeamua kunipa kichuma mboga? basi hiyo ikawa ndo sentensi yak ya mwisho na alikuwa ameshafungua na zipu.

Duh..!!! Very hard to believe...!!!
 
DIRVARITO

New Member
Sep 28, 2011
3
1
"Nakupenda kufa kupona, tafadhali kama hutaki usiambie mtu..., uniambie mwenyewe.... Haki ya Mungu Nakupenda...."

habar ndo hyo umuambie m2 inahusuu?...akha nambie mwnyw..haha!

''the measure of love is to love without measure'' said.
:whistle:DARE
 
nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
mwisho wa mwaka unakuwa na faili la barua za mapenzi ama kweli umenikumbusha mbali sana
 
valid statement

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
2,850
861
ulivosema kabla ya mtandao ukanikumbusha mbali saana mdau.dah...yashanikutaga hayooo,pitia MMU,utakuta kituko pale mapenzi ya sekondari kabla ya simu.
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom