Kabla ya kuoa chunguza hivi viungo

Kabla ya kuoa chunguza hivi viungo

Duh, ha ha ha me nataka kuoa bikra sasa sijui ntapataje muda wa kumchunguza hivyo
 
Nitamwoa nitakayependa kutoka moyoni na atakayenipenda pia...
Hivyo vigezo vyako peleka shuleni watoto wakajibie mtihani, mahusiano siyo kama unavyoyafikiria... Si jambo la kufikirika kama unavyodhani.
WANAWAKE WOTE WANAFAA KUOLEWA
Mkuu nimependa jibu lako zuri kabisa.

Ila... Mi ni 'ke & nakupa maneno flani ya busara nlopata kuambiwa na mzee nnayemuheshimu. Alisema hivi "kuoa/kuolewa ni biashara kubwa na huhitaji watu makini kufanya biashara hii, hivyo kama zilivo biashara nyingine huanzi kumpenda business partner ndio awe. Yamkini unampenda kweli, lakini si muaminifu, je utafanya naye biashara? Kwa hiyo, chagua mwenza "compatible" usipelekwe na mapenzi". Mzee wa Busara.

Kwahio ndugu... Sijui umenielewa?[emoji111] [emoji109]

No Pain, No Gain
 
Screenshot_2017-08-17-12-09-59.png
 
Kwapa, kama msichana ana ukungu kwenye kwapa au tunywele ata kidogo mwanamke huyu ni mchafu tena mchafu sana, uchafu wa kwenye mwili ni mpaka anapoishi.

Ulimi, huu huwa una majibu ya kwamba mtu huyo ni perepeta ama vipi, kama ulimi umechongoka mbele huyo ni vuvuzela.

Vinyweleo mwilini, mwili wa mwanamke unatakiwa uwe soft, najua kuna wengine husema wana wake hawa ni wenye bahati lakini hawa ni kwamba hormone diosder na mwanamke huyu hakawi kukuzalia mtoto wa kike mwenye ndevu.

Tumbo, yaani dizaini fulani hivi kama kitambi au vinyama uzembe. Hii aina ya hivi ni kwamba mtu huyu ni mroho, mchoyo na mzembe. Hawa ndio wale akikuta maisha mazuri baada ya miaka miwili unabadili chaga za vitanda na kuanza kujiuliza nilioa kitu gani.

Makucha, hakuna cha urembo hapo jombaa, huyu ni mchafu na hakuna kazi anayoweza zaidi ya kushika remote ya t.v.

Ngozi. Hili ndio tatizo kabisa unakuta demu ukimuangalia usoni ni tofauti na masikio, mikono miguu, yaani ni rainbow. Huyu sio wakuoa maana badala ya kununia mboga atanunua mkorogo. Inakuwa mama mzazi anakuja kukutembelea anakuuliza mkeo yuko wap unamwambia si huyu hapa anasema mmh yule si alikuwa mweus mbona umekuja na zeruzeru.

Kwato, zile kwato fupi. hawa waogope ni waongo waongo sana na wezi. Ni ngumu kumkuta mwenye kwato fupi ambae sio muongomuongo na mbea. Yaani kibamia chako kitatangazwa saloon zote anazoenda kusuka.

Pua, wale wenye vinyama nyama puani wanakoroma kinyama usiku, ni wa kuepuka hawa maana usiku utaendesha gari moshi bila kupenda.

Itaendelea.

CONNOR.
Kuna usemi wa kinikolai,kwamba hakuna kizuri kisicho na kasoro,ivi utampata wapi aliye kama malaika na katika kuoa au kuolewa tunatakiwa kuomba Mungu ili atusaidie maana hata adam alipewa bila kuomba na alivomwona Hawa akasema hakika wewe ni nyama kat ya nyama yangu na mfupa kati ya mfupa wangu,tazama mwanzo2:21-25, so huo uchunguzi hukupi kitu kilichobora kma kumwomba Yesu wa Nazareth

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh. Sawa mkuu kama unategemea kusaidiwa kuchagua.
Kwanza mmetuumiza vya kutosha, tukapoteza muelekeo. Ss wenzio tunataka kuanza moja, unaanza kukandia na kuponda kwa sababu ww unafuatwa tu, wenzako tunafuata tunajua adha tunazokutana Nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!!! Mleta uzi umetisha, kuna manzi moja nilikuanayo, inasifa ya tumbo na vinyweleo yaan kwenye kula ni nomaa mpaka najisikia aibu, issue ya vinyweleo hakika inaambatana na vindevu maana alikuanavyo vyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom