Kabla ya kuoa chunguza hivi viungo

Kabla ya kuoa chunguza hivi viungo

The List

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2017
Posts
1,741
Reaction score
4,944
Kwapa, kama msichana ana ukungu kwenye kwapa au tunywele ata kidogo mwanamke huyu ni mchafu tena mchafu sana, uchafu wa kwenye mwili ni mpaka anapoishi.

Ulimi, huu huwa una majibu ya kwamba mtu huyo ni perepeta ama vipi, kama ulimi umechongoka mbele huyo ni vuvuzela.

Vinyweleo mwilini, mwili wa mwanamke unatakiwa uwe soft, najua kuna wengine husema wana wake hawa ni wenye bahati lakini hawa ni kwamba hormone diosder na mwanamke huyu hakawi kukuzalia mtoto wa kike mwenye ndevu.

Tumbo, yaani dizaini fulani hivi kama kitambi au vinyama uzembe. Hii aina ya hivi ni kwamba mtu huyu ni mroho, mchoyo na mzembe. Hawa ndio wale akikuta maisha mazuri baada ya miaka miwili unabadili chaga za vitanda na kuanza kujiuliza nilioa kitu gani.

Makucha, hakuna cha urembo hapo jombaa, huyu ni mchafu na hakuna kazi anayoweza zaidi ya kushika remote ya t.v.

Ngozi. Hili ndio tatizo kabisa unakuta demu ukimuangalia usoni ni tofauti na masikio, mikono miguu, yaani ni rainbow. Huyu sio wakuoa maana badala ya kununia mboga atanunua mkorogo. Inakuwa mama mzazi anakuja kukutembelea anakuuliza mkeo yuko wap unamwambia si huyu hapa anasema mmh yule si alikuwa mweus mbona umekuja na zeruzeru.

Kwato, zile kwato fupi. hawa waogope ni waongo waongo sana na wezi. Ni ngumu kumkuta mwenye kwato fupi ambae sio muongomuongo na mbea. Yaani kibamia chako kitatangazwa saloon zote anazoenda kusuka.

Pua, wale wenye vinyama nyama puani wanakoroma kinyama usiku, ni wa kuepuka hawa maana usiku utaendesha gari moshi bila kupenda.

Itaendelea.

CONNOR.
 
Kwapa, kama demu ana ukungu kwenye kwapa au tunywele ata kidogo mwanamke huyu ni mchafu tena mchafu sana, uchafu wa kwenye mwil ni mpaka anapoish.

Ulimi, huu huwa una majibu ya kwamba mtu huyo ni perepeta ama vipi, kama ulimi umechongoka mbele uyo ni vuvuzela.

Vinyweleo mwilini, mwili wa mwanamke unatakiwa uwe soft, najua kuna wengne husema wana wake hawa ni wenye bahat lakin hawa ni kwamb hormone diosder na mwanamke huyu hakawi kukuzalia mtoto wa kike mwenye ndevu.

Tumbo, yaani dizain fulan hivi kama kitambi au vinyama uzembe. Hii aina ya hivi ni kwamba mtu huyu ni mroho, mchoyo na mzembe. Hawa ndio wale akikuta maisha mazuri baada ya miaka miwil unabadil chaga za vitanda na kuanza kujiuliza nilioa kitu gani.

Makucha, hakuna cha urembo hapo jombaa, huyu ni mchafu na hakuna kazi anayoweza zaidi ya kushika remote ya t.v.

Ngozi. Hili ndio tatizo kabisa unakuta demu ukimuangalia usoni ni tofauti na masikio, mikono miguu, yaani ni rainbow. Huyu sio wakuoa maana badala ya kununia mboga atanunua mkorogo. Inakuwa mama mzazi anakuja kukutembelea anakuuliza mkeo yuko wap unamwambia si huyu hapa anasema mmh yule si alikuwa mweus mbona umekuja na zeruzeru.

Kwato, zile kwato fupi. hawa waogope ni waongo waongo sana na wezi. Ni ngum kumkuta mwenye kwato fupi ambae sio muongomuongo na mbea. Yaan kibamia chako kitatangazwa saloon zote anazoenda kusuka.

Pua, wale wenye vinyama nyama puani wanakoroma kinyama usiku, ni wa kuepuka hawa maana usiku utaendesha gari moshi bila kupenda.

Itaendelea.

CONNOR.
Na wenye vinyama kwenye 071....
Wapo kundi gani...?
 
Kwapa, kama msichana ana ukungu kwenye kwapa au tunywele ata kidogo mwanamke huyu ni mchafu tena mchafu sana, uchafu wa kwenye mwili ni mpaka anapoishi.

Ulimi, huu huwa una majibu ya kwamba mtu huyo ni perepeta ama vipi, kama ulimi umechongoka mbele huyo ni vuvuzela.

Vinyweleo mwilini, mwili wa mwanamke unatakiwa uwe soft, najua kuna wengine husema wana wake hawa ni wenye bahati lakini hawa ni kwamba hormone diosder na mwanamke huyu hakawi kukuzalia mtoto wa kike mwenye ndevu.

Tumbo, yaani dizaini fulani hivi kama kitambi au vinyama uzembe. Hii aina ya hivi ni kwamba mtu huyu ni mroho, mchoyo na mzembe. Hawa ndio wale akikuta maisha mazuri baada ya miaka miwili unabadili chaga za vitanda na kuanza kujiuliza nilioa kitu gani.

Makucha, hakuna cha urembo hapo jombaa, huyu ni mchafu na hakuna kazi anayoweza zaidi ya kushika remote ya t.v.

Ngozi. Hili ndio tatizo kabisa unakuta demu ukimuangalia usoni ni tofauti na masikio, mikono miguu, yaani ni rainbow. Huyu sio wakuoa maana badala ya kununia mboga atanunua mkorogo. Inakuwa mama mzazi anakuja kukutembelea anakuuliza mkeo yuko wap unamwambia si huyu hapa anasema mmh yule si alikuwa mweus mbona umekuja na zeruzeru.

Kwato, zile kwato fupi. hawa waogope ni waongo waongo sana na wezi. Ni ngumu kumkuta mwenye kwato fupi ambae sio muongomuongo na mbea. Yaani kibamia chako kitatangazwa saloon zote anazoenda kusuka.

Pua, wale wenye vinyama nyama puani wanakoroma kinyama usiku, ni wa kuepuka hawa maana usiku utaendesha gari moshi bila kupenda.

Itaendelea.

CONNOR.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1531][emoji1531][emoji1531]
 
Back
Top Bottom