Kabla ya kuoa chunguza hivi viungo

Kabla ya kuoa chunguza hivi viungo

Umesahau na hii mkuu.
Mwanamke mfupi na kidole cha mguuni kikiangalia juu hakigusi chini muogope wabish na waongeaji sana natantalila nyingiii
 
Ok

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Na wenye vinyama kwenye 071....
Wapo kundi gani...?
Hawa wanajamba balaa, kila muda ye ni kupumua ushuzi tu kama alarm ya ambulance, balaa lake usiku utadhani ndani umeingiza meli ya maersk, maana sio mijihoni hyo
 
Niongezee apo, aliyetoboa pua na masikio zaidi ya matundu matatu, hafai.

kuna mmoja nilikuwa naye, sasa siku ya siku ananijia katoboa matundu mengine zaidi ya mawili yakawa matatu Aiseeeeh nilipata hadi kizunguzungu na kichefuchefu na kinyaaa balaa
 
Zaaa wa kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
all in all kila mwanamke au mwanaume duniani anamwenza wake no matter ameumbwaje.....Makusudi ya Mungu hakuna wa kukosoa....Mungu kaumba warefu,wafupi, vibamia,weusi tii, weupe pee, wakorofi, welevu, mahb, makauzu ila kila mmoja anamtu anayemfaa ...sema ni swala la subra tu na sio kulazimisha mambo.


I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Back
Top Bottom