Kabla na baada. Inanishangaza sana

Kabla na baada. Inanishangaza sana

Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam

Poleni na majukumu ya kila siku.

Thax GOD kwa kunipa huyu mke. Nasema hivyo kwa sababu ya vile alivyoniokoa kwenye majanga labda ningekufa na ngoma.
Ilikuwa hivi:

Kabla ya ndoa
Kila nilipokuwa nataka kumcheat alionyesha ishara ya kunishtukia
Mfano. Nikiwa eneo la tukio kabla sijafanya chochote utashangaa kanipigia simu, anauliza kwa upole na hekima mpenzi uko wapi? nahisi hauko salama,............
Kutokana na maongezi yake yaliyojaa upole na hekima hata kama nilikuwa guest na gaili kumgegeda nilie nae mda huo kwa sababu nafsi ilikuwa inanisuta.
Wakati mwingine nikiwa na appointment na dem yeyote nikiwa na nia kabisa ya kumduu, nikiwa njiani naelekea huko mpenzi wangu wa ukwee alikuwa akinipigia simu akizidi kunisihi kuwa nisimcheat
Hii ilinipa shida sana mpaka nikahisi labda miongoni mwa friends wangu huwa wanamtonya. Nikafikia maamuzi ya kutowaambia chochote kuhusu mahusiano yangu mengine. Lkn bado mpenzi wangu ambaye sasa ni mke halali wa ndoa akawa ananishitukia.

Baada ya ndoa
Kunawakati fulani hivi shetani akanivaa nikataka kumcheat wife lkn bado alionyesha ishara ya kunishitukia

Sasa najiuliza huwa anajuaje?

Kwasasa nimeamua sitaki kuwa na mawazo ya kumcheat tena wife

Ningekuwa na muda ningekupa mengi sana juu ya ukweli huu.
Kasome kitu inaitwa TELEPATHY.
Hii ni sixth sense of organ kila binadamu anayo isipokuwa hatuzitumii ipasavyo.
Mshauri mkeo aitumie kwenye mambo ya msingi mtanufaika sana.
 
Naweza pata wapi haya material ili niyapitie kidogo
 
Joka lilimdanganya Adam na Hawa na hilo joka ni ibilisi

Ibilisi alikubeba mpaka guest? Uwe mkweli mkuu. Mungu ametupa two choices; uzima au mauti hivyo uchaguzi ni wa mtu mwenyewe.
 
Pia kumbuka tunashinda dhambi kwa neema na si kwa akili zetu. Bila roho mtakatifu hakuna awezae kushinda tamaa za mwili
 
Naweza wapi haya material ili niyapitie kidogo

Aaaaaaa unaniangusha kaka nenda kamuulize my good brother yuko hapo ulipo jirani na wewe amekaa mbele yako
feature it out who this?

Google.com don't start with www cause is going to do it for You.
 
ibilisi kafanyaje sasa!!!!

Mi nashangaa ibilisi wa watu katuli tuli wanamsingizia tu.

Mbona kwa maelezo ya msingi mhusika hakusema alikuwa na Ibilisi.
kazi kumsingizia tu nbaba wa mzee wa watu.

Mbona walisha sema Ibilisi wa mtu ni mtu?
 
maisha unachagua.....,

hata hao Adam na Hawa walikuwa na choices pia
 
...unapokutana na chatu/simba/n'nge/tandu/fisi/mbweha umwonapo ukishtuka tu naye anashtuka (mwili unatengeneza kemikali za haraka zinazofanya akili/mwenendo/maongezi etc kubadilika) so does your wife,
simu inapoita unashtuka uliyeko naye anashtuka, unapoongea nae unasita sita, coz uliye nae huenda akakubadilikia
mwenzio anapata hisia moja kwa mojaaaaaaaaaa, GOD must BE crazy unamkumbuka mtu naye anakukumbuka at the same point in time...(samahanini kwa kuchanganya lugha)
 
Acha dharau swali la mke wako una2letea huku ili iweje?au unataka tujue mke wako yupo makini ? Je wewe ulishawai kumstukia akitaka kuchet? Kaa ukijua binadam anayo tabia ya kuhis pia na kujiami tafakari uchukua hatua ukimw upo na unaishi na unaendelea kuua
 
Sio Kumchiti bana ni Mapenzi shirikishi hayo kuchiti ndio nini? Mwambie unanoa panga bana
 
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam

Poleni na majukumu ya kila siku.

Thax GOD kwa kunipa huyu mke. Nasema hivyo kwa sababu ya vile alivyoniokoa kwenye majanga labda ningekufa na ngoma.
Ilikuwa hivi:

Kabla ya ndoa
Kila nilipokuwa nataka kumcheat alionyesha ishara ya kunishtukia
Mfano. Nikiwa eneo la tukio kabla sijafanya chochote utashangaa kanipigia simu, anauliza kwa upole na hekima mpenzi uko wapi? nahisi hauko salama,............
Kutokana na maongezi yake yaliyojaa upole na hekima hata kama nilikuwa guest na gaili kumgegeda nilie nae mda huo kwa sababu nafsi ilikuwa inanisuta.
Wakati mwingine nikiwa na appointment na dem yeyote nikiwa na nia kabisa ya kumduu, nikiwa njiani naelekea huko mpenzi wangu wa ukwee alikuwa akinipigia simu akizidi kunisihi kuwa nisimcheat
Hii ilinipa shida sana mpaka nikahisi labda miongoni mwa friends wangu huwa wanamtonya. Nikafikia maamuzi ya kutowaambia chochote kuhusu mahusiano yangu mengine. Lkn bado mpenzi wangu ambaye sasa ni mke halali wa ndoa akawa ananishitukia.

Baada ya ndoa
Kunawakati fulani hivi shetani akanivaa nikataka kumcheat wife lkn bado alionyesha ishara ya kunishitukia

Sasa najiuliza huwa anajuaje?

Kwasasa nimeamua sitaki kuwa na mawazo ya kumcheat tena wife
Kuna utundu wa kitechnolojia wa kufatilia mawasiliano ya mtu(SMS,calls n.k) huwenda akawa nao
 
Atakua ana jini mahaba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom