HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
kumbe wewe wa kiumeni siku zote nlifikiri mbeijing
avatar
Israeli mtoa roho anakulinda ..
Muulize mkeo anajuaje Kama
Unataka majibu ya haaswaaa..
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
Poleni na majukumu ya kila siku.
Thax GOD kwa kunipa huyu mke. Nasema hivyo kwa sababu ya vile alivyoniokoa kwenye majanga labda ningekufa na ngoma.
Ilikuwa hivi:
Kabla ya ndoa
Kila nilipokuwa nataka kumcheat alionyesha ishara ya kunishtukia
Mfano. Nikiwa eneo la tukio kabla sijafanya chochote utashangaa kanipigia simu, anauliza kwa upole na hekima mpenzi uko wapi? nahisi hauko salama,............
Kutokana na maongezi yake yaliyojaa upole na hekima hata kama nilikuwa guest na gaili kumgegeda nilie nae mda huo kwa sababu nafsi ilikuwa inanisuta.
Wakati mwingine nikiwa na appointment na dem yeyote nikiwa na nia kabisa ya kumduu, nikiwa njiani naelekea huko mpenzi wangu wa ukwee alikuwa akinipigia simu akizidi kunisihi kuwa nisimcheat
Hii ilinipa shida sana mpaka nikahisi labda miongoni mwa friends wangu huwa wanamtonya. Nikafikia maamuzi ya kutowaambia chochote kuhusu mahusiano yangu mengine. Lkn bado mpenzi wangu ambaye sasa ni mke halali wa ndoa akawa ananishitukia.
Baada ya ndoa
Kunawakati fulani hivi shetani akanivaa nikataka kumcheat wife lkn bado alionyesha ishara ya kunishitukia
Sasa najiuliza huwa anajuaje?
Kwasasa nimeamua sitaki kuwa na mawazo ya kumcheat tena wife
Mhh. Lakini bado hainingii akilini. Umefika hadi G.House, Umesaula ukiona simu ya mkeo inakupigia tu basi unaahirisha mpambano! Si bure.
mbona unataka kuzimia moto petroli?
mbona akikupigia wakati uko ofisini,unaona kawaida!!!!!
kuahirisha mpambano sijajua,mwingine akiona sim
mdo anavua na boxer vizuri tu
wife anakupenda kwa dhati ila we ndo hujatulia tu
Asante. Mungu atupe neema ya kushinda majaribu ya dunia hiihongera kwa kukiepuka kikombe hiki........
Hata mm najua ananipenda sema ibilisi tu anatuhangaisha
usimsingizie ibilisi.tamaa za mwili zinazuilika
Sauti ya mke ya upole ,haina jazba kuna hekima ndani yake lazima nafsi ikusute labda uwe na roho ya jiwe
si tamaa zenu tu zinawasumbuaga
Jitafakari upya, then jipime why you and not yule!Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
Poleni na majukumu ya kila siku.
Thax GOD kwa kunipa huyu mke. Nasema hivyo kwa sababu ya vile alivyoniokoa kwenye majanga labda ningekufa na ngoma.
Ilikuwa hivi:
Kabla ya ndoa
Kila nilipokuwa nataka kumcheat alionyesha ishara ya kunishtukia
Mfano. Nikiwa eneo la tukio kabla sijafanya chochote utashangaa kanipigia simu, anauliza kwa upole na hekima mpenzi uko wapi? nahisi hauko salama,............
Kutokana na maongezi yake yaliyojaa upole na hekima hata kama nilikuwa guest na gaili kumgegeda nilie nae mda huo kwa sababu nafsi ilikuwa inanisuta.
Wakati mwingine nikiwa na appointment na dem yeyote nikiwa na nia kabisa ya kumduu, nikiwa njiani naelekea huko mpenzi wangu wa ukwee alikuwa akinipigia simu akizidi kunisihi kuwa nisimcheat
Hii ilinipa shida sana mpaka nikahisi labda miongoni mwa friends wangu huwa wanamtonya. Nikafikia maamuzi ya kutowaambia chochote kuhusu mahusiano yangu mengine. Lkn bado mpenzi wangu ambaye sasa ni mke halali wa ndoa akawa ananishitukia.
Baada ya ndoa
Kunawakati fulani hivi shetani akanivaa nikataka kumcheat wife lkn bado alionyesha ishara ya kunishitukia
Sasa najiuliza huwa anajuaje?
Kwasasa nimeamua sitaki kuwa na mawazo ya kumcheat tena wife
Sio sisi tu hata nyie mna tamaa, tene tamaa zenu hazina maana, kwasababu mkitamani huko nje huwa mnawadharau waume zenu na kusahau mlikotoka
halafu mnamsingizia ibilisi.....