Kabla hujamuoa mfanyie majaribio yafuatayo

Alikua analeta nguo napeleka Dry Cleaner.

Kuna siku nilienda kwake nikakuta hela kabatini nyingi sana niwe mkweli nilichomoa kati kati[emoji23][emoji23] ( hakugundua nilikuja kumuambia mwenyewe baada ya miezi 6 akacheka tu )

kupika - aisee wakati tunaanza kuishi wote tulijua kula hotelini na mtoto wetu ikabidi anitafutie mdada fasta....nilimuambia ukweli sijui kupika nilikua sipiki kwetu sijui chochote so anivumilie nijifunze.

Kama anakupenda atakuvumilia kikubwa ni ujue mapungufu yako na kuyafanyia kazi.
Yeah no 1 is perfect hata Kama hajui kupika atajifunzia kwangu upendo Ni zaidi ya hayo yote
 
Na bado unaweza ukampata mwenye vigezo vyote ulivyoandika ila wewe usitosheleze vigezo vyake usivyovijua.

NB: Tafuta pisi yenye uwezo wa kukubali kujazia ambavyo haina, ina hekima ya kukuongezea kwenye ambavyo huna, na isiyo mwanaharakati. Kisha ruka nayo.
 
Alikua analeta nguo napeleka Dry Cleaner.

Kuna siku nilienda kwake nikakuta hela kabatini nyingi sana niwe mkweli nilichomoa kati kati[emoji23][emoji23] ( hakugundua nilikuja kumuambia mwenyewe baada ya miezi 6 akacheka tu )

kupika - aisee wakati tunaanza kuishi wote tulijua kula hotelini na mtoto wetu ikabidi anitafutie mdada fasta....nilimuambia ukweli sijui kupika nilikua sipiki kwetu sijui chochote so anivumilie nijifunze.

Kama anakupenda atakuvumilia kikubwa ni ujue mapungufu yako na kuyafanyia kazi.
Inaonekana ulikuwa wa Masaki 1st Class
 
Kwa wale mabachela ambao bado hamjao njooni niwasanue kitu maybe kitakuja kuwafaa kwenye kuchagua mwanamke wa kuishi naye ndani Kama mkeo.

Unapoanza mahusiano na mwanamke lazima ufanye vitu viwili vinavyoitwa " Risk taking" na " feasibility test". Feasibility testing Ni kufanya taathmini kwa kutumia mbinu mbali mbali kwa lengo la kutaka kujua Kama Kweli huyu mwanamke ataweza kukidhi vigezo vinavyohitajika.
Test zako zote hizo zinapima vitu vya kawaida Sana ambavyo vinarekebishika au vumilika .
Wengi wetu tuliooa tunaishi Raha mstarehe tujapokuwa na wanawake waliokuwa/wenye mapungufu katika pointi yako moja au zote, Ila tuna amani maana tunatambua kwamba hatukuoa Malaika.
 
𝐀𝐢𝐬𝐞𝐞𝐞𝐞 𝐧𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐡𝐢𝐯𝐢 𝐮𝐩𝐮𝐮𝐳𝐢 𝐡𝐮𝐨 𝐤𝐢𝐣𝐚𝐧𝐚 𝐲𝐞𝐲𝐨𝐭𝐞 𝐚𝐬𝐢𝐣𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐢𝐭𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐜𝐡𝐨𝐜𝐡𝐨𝐭𝐞 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐭𝐮 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐜𝐡𝐞𝐳𝐞𝐚 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐤𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐮𝐦𝐮𝐚𝐜𝐡𝐞,
𝐍𝐝𝐢𝐨 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 𝐲𝐚 𝐬𝐢𝐤𝐮 𝐡𝐢𝐳𝐢 𝐡𝐚𝐭𝐮𝐩𝐚𝐭𝐢 𝐦𝐚𝐛𝐢𝐧𝐭𝐢 𝐩𝐮𝐫𝐞 𝐤𝐰𝐚 𝐬𝐚𝐛𝐚𝐛𝐮 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐬𝐡𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐤𝐢𝐚 𝐦𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐧𝐝𝐨𝐚 𝐤𝐚𝐛𝐥𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐧𝐠𝐢𝐚 𝐧𝐝𝐨𝐚𝐧𝐢,
Kabisa,
Yaani mwanamke kabla ya kuolewa anafanyiwa test na wanaume wangapi, na wote hao wanakuwa wamemkunsu.
Mnasikia wasichana, msiende kuishi kwa mahawara kabla hawajawaoa, maana wanawafanya uwanja wa majaribio Kisha wananasema hamjawasatisfy, Kama wasemavyo examiner's baada ya kumfelisha examinee.
 
ma X wangu wote walioshawai kuja gheto walifanya hayo ila bado hawakupata nafasi,nimeoa mtu ambaye sikumuekea mitihani na tulijikuta tyr tushafunga ndoa hadi sasa mwaka wa 7 huu
Good observation.
Natamani nikupe likes kumi, Kama ingeruhusiwa..
 
Kwa ground mambo huwa ni tofauti sana...

Achana na hizo Fairy tales
-Niamini mimi-
 
Kwa wale mabachela ambao bado hamjao njooni niwasanue kitu maybe kitakuja kuwafaa kwenye kuchagua mwanamke wa kuishi naye ndani Kama mkeo.

Unapoanza mahusiano na mwanamke lazima ufanye vitu viwili vinavyoitwa " Risk taking" na " feasibility test". Feasibility testing Ni kufanya taathmini kwa kutumia mbinu mbali mbali kwa lengo la kutaka kujua Kama Kweli huyu mwanamke ataweza kukidhi vigezo vinavyohitajika.

Mwanaume unatakiwa udate na wanawake kadhaa( minimum 5) angalau uweze kuwafanyia tests mbali mbali ili uchague mwanamke mmoja wa kuishi naye Kama mkeo( Kama atakuwa ametusua tests/mitihani zako zote). Wiki Moja tu inatosha kumtest mchumba wako kwa hiyo mpe mwaliko wa wiki Moja Kisha Anza kumfanyia tests zifuatazo;
[emoji116][emoji116][emoji116]

1.Mpe nguo zako chafua afu chukua kiti ukae pembeni uone jinsi atavyofua. Akichukua shati, fulana na suruali zako Kisha akazichanganya kwenye besheni Moja Basi hiyo Ni ishara tosha kwamba huyo mwanamke wako Ni mchafu wa kiwango Cha flyover.Atakuwa amekiuka kanuni za ufuaji. Mtu anapofua nguo za mwanaume/ mume wake anatakiwa afue Kama ifuatavyo;
Aanze na shati,vests fulana,suruali,jampers au koti Kisha socks afu amalize na viatu.Hii ndo itifaki inayozingatiwa kwenye usafi wa mavazi tofauti na hapo Basi huo ni uchafu. Kwa hyo mwanamke wako akishindwa kuzingatia hyo itifaki Basi piga chini haraka huyo no mchafu.

2.Chukua noti kadhaa za pesa Kisha uzikunje na uziweke kwenye mojawapo ya suruali zako kimaksudi Kisha mpe huyo mchumba wako afue.Usimwambie Kama Kuna uwezakano wa pesa kuwa kwenye nguo yako ila we kausha tu afu nenda zako kijiweni ukapige stori na Wana. Kisha Rudi ndani baada ya muda mfupi afu ukae kimya tu au umpongeze kwa kazi nzuri aliyofanya ya kukufulia. Hapo Sasa mwanamke mwenyewe atamua aidha kukupa zile pesa alizopata kwenye nguo yako wakati anafua ama akaushe tu ajifanye hakuzikuta ila wewe mwenyewe unajua lengo lako. Akikupa Basi shukuru maana huyo atakuwa mwaminifu ila akinyamazia Basi piga chini haraka maana hapo utakuwa umefuga mwizi atakuja kukuibia Mali zako [emoji23]

3.Usafi wa ndani kwa ujumla
Sasa Hapa Ni hivi,kabla huyo mchumba wako hajafika kwako kwa ajili ya mwaliko uliompa,hebu mess up Kila kitu,Yaani tawanya mashuka ya kitanda chako Ana ikiwezekana tandika shuka chafu afu chukua shuka Safi uiweke pembeni.Nenda sebuleni vuruga Kila kitu.Fungua kabati lako afu changanya sahani na vikombe. Alifika ndani we kaushia tu Wala usimwambie chochote ajiongeze mwenyewe maana tayari atakuwa ameshaona mess iliyopo. Akishindwa kujiongeza eti anajifanya hajaona upuuzi uliopo Basi huyo piga chini Mara Moja coz huyo atakuja kukuabisha mbele za wageni wako siku Moja.Fukuza tafuta mwingine.

4.Mapishi yake jiko
Akija kwako lazima atapika mule.Mambo ya kula hotelini yatakuwa ndio baaasi.
Wahi dukani kwa mangi nunua unga wa ngano mixer mafuta ya mboga( oil) Kisha mlete umwambie umetamani kula chapati laini kbsa. Akikuletea mezani vitu vya ajabu ajanu( chapati zilizokauka afu hazina shape ya kueleweka) huyo piga chini Mara Moja arudi kwao mamake amfundishe kupika.

5.Mapokezi yake ukirudi kazini.
Rudi nyumbani jioni kbsa afu jifanye umechoka.Timba na mizigo mizito( tuseme shopping ya ndani) afu mbishie mlangoni then angalia reaction yake. Mwanamke anayejielewa akiona situation Kama hii ataacha Kila kitu akimbie kuja kukulaki mlango na kukupa pole za kazini na kukusaidia kuweka ndani mizigo. Kisha akuandalie maji ya vugu vugu Kisha akupelekee bafuni na towel lako.Kisha akutengee nguo za kubadilishia. Tofauti na hivyo Basi huyo no mzembe piga chini haraka.

Vijana wa kiume ambao ndo kwanza mpo kwenye harakati za kutafuta wanawake wa kuishi nao Kama mke ebu chukueni hizi mbinu mzifanyie kazi afu mtakuja kunishukuru baadae. Ngoja nipige Kenya Cane Moja nisuuze Koo kwanza Kisha nirudi kusoma comments za wanazengo.
Hizo sifa zote ulizozitaja ni za wanawake wasanii wa pwani, hakuna sifa za wife material hapo, hayo yote ni tolerable na ndoa itadumu hadi vitukuu, hata mkifulia mjini maisha ya kijijini mtaishi raha mustarehe, hao uliowataja utamkuta mjini ukifulia utamuacha mjini
 
6-- Mpe namba ya mchumba wako rafiki yako mwenye pesa ajaribu kumtongoza ..
Ili uone uaminifu wa mchumba wako .

Kama hukulia kilio cha mbwa mwitu "mdomo juu."

Yote uliyoandika kuanzia no 1-5 ni vitu ambavyo haiwezekani kupata mke mwema kwa vigezo hivyo.

Mke hatafutwi kwa kumpima tabia,, mke mwema anakuja mwenyewe.
 
Kwa wale mabachela ambao bado hamjao njooni niwasanue kitu maybe kitakuja kuwafaa kwenye kuchagua mwanamke wa kuishi naye ndani Kama mkeo.

Unapoanza mahusiano na mwanamke lazima ufanye vitu viwili vinavyoitwa " Risk taking" na " feasibility test". Feasibility testing Ni kufanya taathmini kwa kutumia mbinu mbali mbali kwa lengo la kutaka kujua Kama Kweli huyu mwanamke ataweza kukidhi vigezo vinavyohitajika.

Mwanaume unatakiwa udate na wanawake kadhaa( minimum 5) angalau uweze kuwafanyia tests mbali mbali ili uchague mwanamke mmoja wa kuishi naye Kama mkeo( Kama atakuwa ametusua tests/mitihani zako zote). Wiki Moja tu inatosha kumtest mchumba wako kwa hiyo mpe mwaliko wa wiki Moja Kisha Anza kumfanyia tests zifuatazo;
[emoji116][emoji116][emoji116]

1.Mpe nguo zako chafua afu chukua kiti ukae pembeni uone jinsi atavyofua. Akichukua shati, fulana na suruali zako Kisha akazichanganya kwenye besheni Moja Basi hiyo Ni ishara tosha kwamba huyo mwanamke wako Ni mchafu wa kiwango Cha flyover.Atakuwa amekiuka kanuni za ufuaji. Mtu anapofua nguo za mwanaume/ mume wake anatakiwa afue Kama ifuatavyo;
Aanze na shati,vests fulana,suruali,jampers au koti Kisha socks afu amalize na viatu.Hii ndo itifaki inayozingatiwa kwenye usafi wa mavazi tofauti na hapo Basi huo ni uchafu. Kwa hyo mwanamke wako akishindwa kuzingatia hyo itifaki Basi piga chini haraka huyo no mchafu.

2.Chukua noti kadhaa za pesa Kisha uzikunje na uziweke kwenye mojawapo ya suruali zako kimaksudi Kisha mpe huyo mchumba wako afue.Usimwambie Kama Kuna uwezakano wa pesa kuwa kwenye nguo yako ila we kausha tu afu nenda zako kijiweni ukapige stori na Wana. Kisha Rudi ndani baada ya muda mfupi afu ukae kimya tu au umpongeze kwa kazi nzuri aliyofanya ya kukufulia. Hapo Sasa mwanamke mwenyewe atamua aidha kukupa zile pesa alizopata kwenye nguo yako wakati anafua ama akaushe tu ajifanye hakuzikuta ila wewe mwenyewe unajua lengo lako. Akikupa Basi shukuru maana huyo atakuwa mwaminifu ila akinyamazia Basi piga chini haraka maana hapo utakuwa umefuga mwizi atakuja kukuibia Mali zako [emoji23]

3.Usafi wa ndani kwa ujumla
Sasa Hapa Ni hivi,kabla huyo mchumba wako hajafika kwako kwa ajili ya mwaliko uliompa,hebu mess up Kila kitu,Yaani tawanya mashuka ya kitanda chako Ana ikiwezekana tandika shuka chafu afu chukua shuka Safi uiweke pembeni.Nenda sebuleni vuruga Kila kitu.Fungua kabati lako afu changanya sahani na vikombe. Alifika ndani we kaushia tu Wala usimwambie chochote ajiongeze mwenyewe maana tayari atakuwa ameshaona mess iliyopo. Akishindwa kujiongeza eti anajifanya hajaona upuuzi uliopo Basi huyo piga chini Mara Moja coz huyo atakuja kukuabisha mbele za wageni wako siku Moja.Fukuza tafuta mwingine.

4.Mapishi yake jiko
Akija kwako lazima atapika mule.Mambo ya kula hotelini yatakuwa ndio baaasi.
Wahi dukani kwa mangi nunua unga wa ngano mixer mafuta ya mboga( oil) Kisha mlete umwambie umetamani kula chapati laini kbsa. Akikuletea mezani vitu vya ajabu ajanu( chapati zilizokauka afu hazina shape ya kueleweka) huyo piga chini Mara Moja arudi kwao mamake amfundishe kupika.

5.Mapokezi yake ukirudi kazini.
Rudi nyumbani jioni kbsa afu jifanye umechoka.Timba na mizigo mizito( tuseme shopping ya ndani) afu mbishie mlangoni then angalia reaction yake. Mwanamke anayejielewa akiona situation Kama hii ataacha Kila kitu akimbie kuja kukulaki mlango na kukupa pole za kazini na kukusaidia kuweka ndani mizigo. Kisha akuandalie maji ya vugu vugu Kisha akupelekee bafuni na towel lako.Kisha akutengee nguo za kubadilishia. Tofauti na hivyo Basi huyo no mzembe piga chini haraka.

Vijana wa kiume ambao ndo kwanza mpo kwenye harakati za kutafuta wanawake wa kuishi nao Kama mke ebu chukueni hizi mbinu mzifanyie kazi afu mtakuja kunishukuru baadae. Ngoja nipige Kenya Cane Moja nisuuze Koo kwanza Kisha nirudi kusoma comments za wanazengo.
ndoa zali tu mzee
 
Back
Top Bottom