Kabla hujamuoa mfanyie majaribio yafuatayo

Kabla hujamuoa mfanyie majaribio yafuatayo

Kwa wale mabachela ambao bado hamjao njooni niwasanue kitu maybe kitakuja kuwafaa kwenye kuchagua mwanamke wa kuishi naye ndani Kama mkeo.

Unapoanza mahusiano na mwanamke lazima ufanye vitu viwili vinavyoitwa " Risk taking" na " feasibility test". Feasibility testing Ni kufanya tago la kutaka kujua Kama Kweli huyu mwanamke ataweza kukidhi vigezo vinavyohitajika.

Mwanaume unatakiwa udate na wanawake kadhaa( minimum 5) angalau uweze kuwafanyia tests mbali mbali ili uchague mwanamke mmoja wa
Unatafuta mke au mtumwa?
 
Nilifanya yote hayo na zaidi, na si kwa ajili ya ku pretend, hapana, nilifanya kwa upendo kabisa..! Hata nikikuta kiasi gani cha pesa kwenye suruali namuwekea hapo pesa zake anazikuta na anashangaa hata hajui kama kaziacha, ikabidi nimnunulie wallet maana alizidi kuacha hela kwenye mifuko ya suruali..!

Na bado kufumania nikafumania na kuachwa nikaachwa..! Lakini bado haijanifanya kuwa mwanamke mbaya Never, Siwezi acha tenda mema sababu kuna mtu kanilipa ubaya,

Namshukuru Mungu kwa kila nilichojifunza kwake kipindi chote nilichokuwa naye, maana kiukweli kamtengenezea mwanaume mwenzie bonge moja la Mke Jasiri..!
 
Nimesoma Ila feminist wakipita watakupinga sana

Mkuu hayo uliyoandika ni matoleo ya zamani Ila haya ya sasa unatafuta kuoa kila mwaka si ujifanye tu mjinga mazee we jifanye tu afu ishi nao kwa akili
 
Nilifanya yote hayo na zaidi, na si kwa ajili ya ku pretend, hapana, nilifanya kwa upendo kabisa..! Hata nikikuta kiasi gani cha pesa kwenye suruali namuwekea hapo pesa zake anazikuta na anashangaa hata hajui kama kaziacha, ikabidi nimnunulie wallet maana alizidi kuacha hela kwenye mifuko ya suruali..!

Na bado kufumania nikafumania na kuachwa nikaachwa..! Lakini bado haijanifanya kuwa mwanamke mbaya Never, Siwezi acha tenda mema sababu kuna mtu kanilipa ubaya,

Namshukuru Mungu kwa kila nilichojifunza kwake kipindi chote nilichokuwa naye, maana kiukweli kamtengenezea mwanaume mwenzie bonge moja la Mke Jasiri..!
Duh pole ama kwa hakika upele umuota asiye na kucha
 
"Wiki Moja tu inatosha kumtest mchumba wako kwa hiyo mpe mwaliko wa wiki Moja..."

Nimeishia kusoma hapo.

Wiki moja umpime tabia mtu mzima mwenye akili timamu ?
 
Alikua analeta nguo napeleka Dry Cleaner.

Kuna siku nilienda kwake nikakuta hela kabatini nyingi sana niwe mkweli nilichomoa kati kati[emoji23][emoji23] ( hakugundua nilikuja kumuambia mwenyewe baada ya miezi 6 akacheka tu )

kupika - aisee wakati tunaanza kuishi wote tulijua kula hotelini na mtoto wetu ikabidi anitafutie mdada fasta....nilimuambia ukweli sijui kupika nilikua sipiki kwetu sijui chochote so anivumilie nijifunze.


Kama anakupenda atakuvumilia kikubwa ni ujue mapungufu yako na kuyafanyia kazi.
 
Hiyo no 2 hakuna mwanamke atakaefaulu huo mtego yaan ukizingatia apo kila mwanamke naona utamuacha kudadekiii
Yaani hakuna atakaye chomoka hapo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Hapo wewe unakuwa na nini mpaka mwanamke apitie yote hayo ili aishi na wewe milele?
 
Back
Top Bottom