Kabla hujamuoa mfanyie majaribio yafuatayo

Kwa wale mabachela ambao bado hamjao njooni niwasanue kitu maybe kitakuja kuwafaa kwenye kuchagua mwanamke wa kuishi naye ndani Kama mkeo.

Unapoanza mahusiano na mwanamke lazima ufanye vitu viwili vinavyoitwa " Risk taking" na " feasibility test". Feasibility testing Ni kufanya taathmini kwa kutumia mbinu mbali mbali kwa lengo la kutaka kujua Kama Kweli huyu mwanamke ataweza kukidhi vigezo vinavyohitajika.

Mwanaume unatakiwa udate na wanawake kadhaa( minimum 5) angalau uweze kuwafanyia tests mbali mbali ili uchague mwanamke mmoja wa kuishi naye Kama mkeo( Kama atakuwa ametusua tests/mitihani zako zote). Wiki Moja tu inatosha kumtest mchumba wako kwa hiyo mpe mwaliko wa wiki Moja Kisha Anza kumfanyia tests zifuatazo;
[emoji116][emoji116][emoji116]

1.Mpe nguo zako chafua afu chukua kiti ukae pembeni uone jinsi atavyofua. Akichukua shati, fulana na suruali zako Kisha akazichanganya kwenye besheni Moja Basi hiyo Ni ishara tosha kwamba huyo mwanamke wako Ni mchafu wa kiwango Cha flyover.Atakuwa amekiuka kanuni za ufuaji. Mtu anapofua nguo za mwanaume/ mume wake anatakiwa afue Kama ifuatavyo;
Aanze na shati,vests fulana,suruali,jampers au koti Kisha socks afu amalize na viatu.Hii ndo itifaki inayozingatiwa kwenye usafi wa mavazi tofauti na hapo Basi huo ni uchafu. Kwa hyo mwanamke wako akishindwa kuzingatia hyo itifaki Basi piga chini haraka huyo no mchafu.

2.Chukua noti kadhaa za pesa Kisha uzikunje na uziweke kwenye mojawapo ya suruali zako kimaksudi Kisha mpe huyo mchumba wako afue.Usimwambie Kama Kuna uwezakano wa pesa kuwa kwenye nguo yako ila we kausha tu afu nenda zako kijiweni ukapige stori na Wana. Kisha Rudi ndani baada ya muda mfupi afu ukae kimya tu au umpongeze kwa kazi nzuri aliyofanya ya kukufulia. Hapo Sasa mwanamke mwenyewe atamua aidha kukupa zile pesa alizopata kwenye nguo yako wakati anafua ama akaushe tu ajifanye hakuzikuta ila wewe mwenyewe unajua lengo lako. Akikupa Basi shukuru maana huyo atakuwa mwaminifu ila akinyamazia Basi piga chini haraka maana hapo utakuwa umefuga mwizi atakuja kukuibia Mali zako [emoji23]

3.Usafi wa ndani kwa ujumla
Sasa Hapa Ni hivi,kabla huyo mchumba wako hajafika kwako kwa ajili ya mwaliko uliompa,hebu mess up Kila kitu,Yaani tawanya mashuka ya kitanda chako Ana ikiwezekana tandika shuka chafu afu chukua shuka Safi uiweke pembeni.Nenda sebuleni vuruga Kila kitu.Fungua kabati lako afu changanya sahani na vikombe. Alifika ndani we kaushia tu Wala usimwambie chochote ajiongeze mwenyewe maana tayari atakuwa ameshaona mess iliyopo. Akishindwa kujiongeza eti anajifanya hajaona upuuzi uliopo Basi huyo piga chini Mara Moja coz huyo atakuja kukuabisha mbele za wageni wako siku Moja.Fukuza tafuta mwingine.

4.Mapishi yake jiko
Akija kwako lazima atapika mule.Mambo ya kula hotelini yatakuwa ndio baaasi.
Wahi dukani kwa mangi nunua unga wa ngano mixer mafuta ya mboga( oil) Kisha mlete umwambie umetamani kula chapati laini kbsa. Akikuletea mezani vitu vya ajabu ajanu( chapati zilizokauka afu hazina shape ya kueleweka) huyo piga chini Mara Moja arudi kwao mamake amfundishe kupika.

5.Mapokezi yake ukirudi kazini.
Rudi nyumbani jioni kbsa afu jifanye umechoka.Timba na mizigo mizito( tuseme shopping ya ndani) afu mbishie mlangoni then angalia reaction yake. Mwanamke anayejielewa akiona situation Kama hii ataacha Kila kitu akimbie kuja kukulaki mlango na kukupa pole za kazini na kukusaidia kuweka ndani mizigo. Kisha akuandalie maji ya vugu vugu Kisha akupelekee bafuni na towel lako.Kisha akutengee nguo za kubadilishia. Tofauti na hivyo Basi huyo no mzembe piga chini haraka.

Vijana wa kiume ambao ndo kwanza mpo kwenye harakati za kutafuta wanawake wa kuishi nao Kama mke ebu chukueni hizi mbinu mzifanyie kazi afu mtakuja kunishukuru baadae. Ngoja nipige Kenya Cane Moja nisuuze Koo kwanza Kisha nirudi kusoma comments za wanazengo.
Usimuwekee mtego mwanamke/mwanaume usiye na uwezo wa kumuacha utaishia kuumia bure,,,,binafsi sipo tayari kumuacha my wangu hivyo ushauri wako siufati.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
ma X wangu wote walioshawai kuja gheto walifanya hayo ila bado hawakupata nafasi,nimeoa mtu ambaye sikumuekea mitihani na tulijikuta tyr tushafunga ndoa hadi sasa mwaka wa 7 huu
Ilikuaje hii mkuu,hebu tupe fantasy how it happened and how it ended with alot blessings,for learning purpose
 
Kujua tabia ya mtu hakuhitaji yote hao. Kuigiza ni kaz kubwa sana fahamu hilo, ukikaa na mtu japo kwa muda mfupi tu utamuelewa
 
ma X wangu wote walioshawai kuja gheto walifanya hayo ila bado hawakupata nafasi,nimeoa mtu ambaye sikumuekea mitihani na tulijikuta tyr tushafunga ndoa hadi sasa mwaka wa 7 huu
Mapenz n ujinga sana[emoji23][emoji23]unakuta ulimuoa ambae hakuwah kukufulia,wala kudeki ndani kwako before ndoa,lkn mmeelewana na mnaishi poa,,,

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale mabachela ambao bado hamjao njooni niwasanue kitu maybe kitakuja kuwafaa kwenye kuchagua mwanamke wa kuishi naye ndani Kama mkeo.

Unapoanza mahusiano na mwanamke lazima ufanye vitu viwili vinavyoitwa " Risk taking" na " feasibility test". Feasibility testing Ni kufanya taathmini kwa kutumia mbinu mbali mbali kwa lengo la kutaka kujua Kama Kweli huyu mwanamke ataweza kukidhi vigezo vinavyohitajika.

Mwanaume unatakiwa udate na wanawake kadhaa( minimum 5) angalau uweze kuwafanyia tests mbali mbali ili uchague mwanamke mmoja wa kuishi naye Kama mkeo( Kama atakuwa ametusua tests/mitihani zako zote). Wiki Moja tu inatosha kumtest mchumba wako kwa hiyo mpe mwaliko wa wiki Moja Kisha Anza kumfanyia tests zifuatazo;
[emoji116][emoji116][emoji116]

1.Mpe nguo zako chafua afu chukua kiti ukae pembeni uone jinsi atavyofua. Akichukua shati, fulana na suruali zako Kisha akazichanganya kwenye besheni Moja Basi hiyo Ni ishara tosha kwamba huyo mwanamke wako Ni mchafu wa kiwango Cha flyover.Atakuwa amekiuka kanuni za ufuaji. Mtu anapofua nguo za mwanaume/ mume wake anatakiwa afue Kama ifuatavyo;
Aanze na shati,vests fulana,suruali,jampers au koti Kisha socks afu amalize na viatu.Hii ndo itifaki inayozingatiwa kwenye usafi wa mavazi tofauti na hapo Basi huo ni uchafu. Kwa hyo mwanamke wako akishindwa kuzingatia hyo itifaki Basi piga chini haraka huyo no mchafu.

2.Chukua noti kadhaa za pesa Kisha uzikunje na uziweke kwenye mojawapo ya suruali zako kimaksudi Kisha mpe huyo mchumba wako afue.Usimwambie Kama Kuna uwezakano wa pesa kuwa kwenye nguo yako ila we kausha tu afu nenda zako kijiweni ukapige stori na Wana. Kisha Rudi ndani baada ya muda mfupi afu ukae kimya tu au umpongeze kwa kazi nzuri aliyofanya ya kukufulia. Hapo Sasa mwanamke mwenyewe atamua aidha kukupa zile pesa alizopata kwenye nguo yako wakati anafua ama akaushe tu ajifanye hakuzikuta ila wewe mwenyewe unajua lengo lako. Akikupa Basi shukuru maana huyo atakuwa mwaminifu ila akinyamazia Basi piga chini haraka maana hapo utakuwa umefuga mwizi atakuja kukuibia Mali zako [emoji23]

3.Usafi wa ndani kwa ujumla
Sasa Hapa Ni hivi,kabla huyo mchumba wako hajafika kwako kwa ajili ya mwaliko uliompa,hebu mess up Kila kitu,Yaani tawanya mashuka ya kitanda chako Ana ikiwezekana tandika shuka chafu afu chukua shuka Safi uiweke pembeni.Nenda sebuleni vuruga Kila kitu.Fungua kabati lako afu changanya sahani na vikombe. Alifika ndani we kaushia tu Wala usimwambie chochote ajiongeze mwenyewe maana tayari atakuwa ameshaona mess iliyopo. Akishindwa kujiongeza eti anajifanya hajaona upuuzi uliopo Basi huyo piga chini Mara Moja coz huyo atakuja kukuabisha mbele za wageni wako siku Moja.Fukuza tafuta mwingine.

4.Mapishi yake jiko
Akija kwako lazima atapika mule.Mambo ya kula hotelini yatakuwa ndio baaasi.
Wahi dukani kwa mangi nunua unga wa ngano mixer mafuta ya mboga( oil) Kisha mlete umwambie umetamani kula chapati laini kbsa. Akikuletea mezani vitu vya ajabu ajanu( chapati zilizokauka afu hazina shape ya kueleweka) huyo piga chini Mara Moja arudi kwao mamake amfundishe kupika.

5.Mapokezi yake ukirudi kazini.
Rudi nyumbani jioni kbsa afu jifanye umechoka.Timba na mizigo mizito( tuseme shopping ya ndani) afu mbishie mlangoni then angalia reaction yake. Mwanamke anayejielewa akiona situation Kama hii ataacha Kila kitu akimbie kuja kukulaki mlango na kukupa pole za kazini na kukusaidia kuweka ndani mizigo. Kisha akuandalie maji ya vugu vugu Kisha akupelekee bafuni na towel lako.Kisha akutengee nguo za kubadilishia. Tofauti na hivyo Basi huyo no mzembe piga chini haraka.

Vijana wa kiume ambao ndo kwanza mpo kwenye harakati za kutafuta wanawake wa kuishi nao Kama mke ebu chukueni hizi mbinu mzifanyie kazi afu mtakuja kunishukuru baadae. Ngoja nipige Kenya Cane Moja nisuuze Koo kwanza Kisha nirudi kusoma comments za wanazengo.
Dogo umezaliwa miaka ya 2000 halafu unakuwa una akili za kizee za miaka ya 60
 
to be honest nikiwahi nyumbani,naingia jikoni napika fresh na nikiwahi kuamka mwenyewe najipashia msos au kuandaa chai then nasepa kwenye mishe zangu kuhusu kufua nguo zangu nafua mwenyewe na mda mwengine mpaka mashuka kama machafu nafua zangu.

Tunaishi kirafiki mno japo tuna mipaka yetu,mjenge mkeo kama rafiki au mtu wako wa karibu,ila ukimjengea ubinafsi na mtu wa mabavu,atakuogopa ila ukimpa kisogo umeisha mzee
 
🙄hatupo ulimwengu wa zakayo saivi ni puttin tu
 
Wangu kwenye no mbili hukuwa na muda wa kusachi alifua pesa yenyewe akaiacha humo humo vp nioe
 
Back
Top Bottom