Kabinti kadogo, ujane mara ya tatu!!!

Kabinti kadogo, ujane mara ya tatu!!!

Daah huyu Lulu kuna time kama namuoneaga huruma coz kila siku yeye tuu.
Ila kwa upande mwingine haka Katoto kama kama enjoy hivi.
 
Duhh kiende kwa babu kikapate kikombe atoe balaa hili. She is too young kuwa mjane, wait a minute, hao si ni waume wa watu, kasoro yule wa kwanza? I hope hajamuacha na kitambi.:A S 20::A S 20::A S 20:
 
Hahahaha! Mpalestina mtoa roho wa haswahaswa uyo. Chezeiya
 
Huyu shost ana gundu, hiv Kanumba ndo alimbiriki??

Ww kanumba alikuwa wa saba ila wengine walikuwa wanapiga na kusepa coz kalikuwa kako chini ya kumi na nane mmojawapo ni blue na kiba
 
Ww kanumba alikuwa wa saba ila wengine walikuwa wanapiga na kusepa coz kalikuwa kako chini ya kumi na nane mmojawapo ni blue na kiba

blue na kiba, bado ni siri subiri siku waki vuta raia watajua.
 
Ww kanumba alikuwa wa saba ila wengine walikuwa wanapiga na kusepa coz kalikuwa kako chini ya kumi na nane mmojawapo ni blue na kiba

blue na kiba, bado ni siri subiri siku waki vuta raia watajua.nawonea huruma wakisikio wame wenzao wanatangulia ma.vi yanawogonga kwenye chuki
 
Back
Top Bottom