Kabinti kadogo, ujane mara ya tatu!!!

Kabinti kadogo, ujane mara ya tatu!!!

Duhh!!! kamefiwa tena kweli haka kabinti kana mkosi hakafai hata kukasalimia au kushikana nako mkono.

nashauri tu kwa wale watu wote wanaotaka kujiua wasipate taabu sana ya kutafuta sijui sumu ya panya bali wamshike tu huyu au wambandue.
 
Mimi Mpk Dk Hii Cjaelewa Chochote.Huyo Hayati Wa Mwisho Ndo Nani.Msaada Tafadhari
 
huyu mrembo kuna kitu alimfanyia kanumba ambacho kinamrudi kwa sasa
 
Huyo jamaa alikuwa kiongozi wangu wa dini o level balaa lake uwe msela msela halaf agundue unasali nae sehemu moja, dizain kama hauendi dini jioni ile after classes utapigwa darasa mwenyewe utajiona hata shetani anakuogopa kwa matendo yako,
Ila alivyokuja badilika baada ya kupata mshiko ni noma ana mke huyo tena mzuri sana ila ndo hvyo tunasikia lulu alikuwa pumziko lake
 
Haka katoto brow wang mmoja kakigonga....nahis kama tutampoteza hiv..🙂🙂

Kwani huyo bro wako sir name yake inaanza na K?, maana yeye anaua wenye sir name za hivyo, kama Kanumba, Komba ... K
 
Mafumbo too much,mpaka nimetoka kapa.

lakini kwanini mwanaume rijali uongee kwa vijembe bana?
 
Mimi nilifikiri amefiwa tena kumbe ni kukisia. Kwani huyo mpenzi wake wa tatu yuko mahututi (ICU)? Kama sio unajuaje kama Lulu awezi kuchomoka kabla ya huyo jamaa?
 
Poor her!!MTU kajifia na makafara yao mnamsingizia haka katoto...
 
Back
Top Bottom