uteule wa nini? au wameteuliwa kuwa taifa teule la Mungu? usisahau kuwa hawa walipata opprtunity ambayo wengine hawakuipata, kama wamisionary wa kwanza hawakuenda kule na kujenga mashule, labda na wao wangekuwa akina yahe. isitoshe siyo wote hawajambo, kuna kina mangi choka mbaya wee acha tu. la msingi kila mtu apate fursa sawa taifa lisonge mbele. hakuna cha mzanaki wala mkurya, nchi hii ni moja
usione mbachao kwa mswala upitaoKuhusu kabila teule hapa naongelea WACHAGA, mimi ninafikiri au ninapendekeza kuwa hili kabila lipewe haki ya kikatiba ya kutawala Tanzania ktk nyanja zoote za nchi yetu kwa muda fulani...ili waweze kufundisha makabila mengine kuhusu mambo ya kimaendeleo.. pendekezo langu hili linatokana na utafiti wangu (wa kienyeji /sio rasmi) nilioufanya kuhusu hawa watu na kungundua kwamba wana utamaduni tofauti sana ukilinganisha na makabila mengine ya nchi yetu, na utamaduni wao umeelekea zaidi ktk mambo ya kimaendeleo kuliko makabila mengine mfano mdogo tuu ni kwenye elimu wakati wa nyerere ambaye hakuweza kujenga shule yeyote ile ya sekondari ktk kipindi chote alichokaa madarakani, lkni hawa watu wachaga walikuwa wanajenga shule za wazazi ambapo wazazi walikuwa wanalazimka kuchangia na matokeo yake tuliyaona kwamba pamoja na siasa za nyerere watu hawa bado walifanikiwa sana ktk kujenga shule nyingi... pia kingine ni mafanikio ya hawa watu ya kimaendeleo popote pale walipo ktk nchi yetu, kwani ushahidi wangu unaonyesha kwamba ktka kila ncha ya nchi yetu niliyotembelea na niliwakuta hawa watu kuanzia nyumbani asilia kwa wazazi wangu tabora vijijini mpaka sumbawanga na kila nilipowakuta walikua wamefanikiwa zaidi kuliko wenyeji kimaendeleo na woote tunawaita mangi...
Pia ukienda mkoa wao kwa kweli unavutia jinsi ulivyopambwa kwa maua mazuri hata vijijini kwao wameweza kujenga nyumba bora pamoja na miundo mbinu imara ukilinganisha na makabila mengine.. kwa hiyo kutokana na hiyo mifano michache mimi nafikiri kuna kitu maalaumu ambacho hawa wau wanacho na makabila mengine wamekosa na hivyo naona haitakuwa vibaya kama tukiwabidhi nchi na kutufundisha utamaduni wao kwani unaonekana ni wa kimaendeleo.....
Hee naona watu wamehamaki na wameanza kunishambulia kwa kejeli nyingi, mbona hamsomi vizuri kile nilichokiandika kwa makini mnasoma juu juu tuu, mimi nilichopendekeza ni kitu cha kawaida kabisa na hili inahusiana na uzoefu wangu na hawa watu wa mkoa wa kilimanjaro kwamba ni watu wa maendeleo sana na mkoa wao pekee ndio unaongoza kwa maendeleo tz kuliko mikoa yoote na hata ukienda arusha au dar na ukaangaalia maendeleo makubwa yanasimamiwa na hawa watu, hivyo basi nikaona kwamba hawa watu wana kitu cha pekee ambacho makabila mengine hawana, sasa kuna ubaya gani kama tukijifunza kutoka kwao??
na watu wanaonipinga na kunitukana napenda mnijibu swali moja kutokana na takwimu za serikali zaidi ya nusu nzima ya watz ni masikini wa kupindukia, Je kama mikoa yoote ya tz ingekuwa kama kilimanjaro kimaendeleo hamuoni kwamba hiyo idadi ya umaskini ingepungua kwa asilimia kubwa? na kama jibu ni ndio nini sababu hasa?
Wafanya biashara wengi maarufu dar ni watu wa kilimanjaro swali Je ni kwa nini? ni lazima kuna kitu kuhusu wao... mimi nimekaa kwa miaka miwili kule moshi vijijini leo hii kupata ardhi ya kununua ni kitu ambacho karibu hakiwezekani hii inamaanisha kuwa ardhi karibu yote inatumika sio tuu kwa chakula cha nyumbani bali kibishara pia, wakati nikienda kwetu tabora mpaka leo unaweza hata ukapata ardhi ya heka 10 000 na sio tabora tuu bali karibu mikoa yote ya tz bara unguja na pemba sijafika kwa hiyo siwezi kuongelea.. hata iringa na mbeya mimi pia nimefika na bishara zote kama hazifanywi na waburushi basi zinafanywa na wachaga...
sasa swali ni kwa nini waweze kuwa na mafanikio zaidi....
kama nchi nyingi zinzifunza kutoka nchi nyingine kitu ambacho sio rahisi...na sisi tumepata bahati ya kuwa na watu ambao wanaweza wakatufundisha mambo ya kimaendeleo na wapo nchini mwetu sasa kwanini tusiwatumie? tatizo lipo wapi?
Kuhusu kabila teule hapa naongelea WACHAGA, mimi ninafikiri au ninapendekeza kuwa hili kabila lipewe haki ya kikatiba ya kutawala Tanzania ktk nyanja zoote za nchi yetu kwa muda fulani...ili waweze kufundisha makabila mengine kuhusu mambo ya kimaendeleo.. pendekezo langu hili linatokana na utafiti wangu (wa kienyeji /sio rasmi) nilioufanya kuhusu hawa watu na kungundua kwamba wana utamaduni tofauti sana ukilinganisha na makabila mengine ya nchi yetu, na utamaduni wao umeelekea zaidi ktk mambo ya kimaendeleo kuliko makabila mengine mfano mdogo tuu ni kwenye elimu wakati wa nyerere ambaye hakuweza kujenga shule yeyote ile ya sekondari ktk kipindi chote alichokaa madarakani, lkni hawa watu wachaga walikuwa wanajenga shule za wazazi ambapo wazazi walikuwa wanalazimka kuchangia na matokeo yake tuliyaona kwamba pamoja na siasa za nyerere watu hawa bado walifanikiwa sana ktk kujenga shule nyingi... pia kingine ni mafanikio ya hawa watu ya kimaendeleo popote pale walipo ktk nchi yetu, kwani ushahidi wangu unaonyesha kwamba ktka kila ncha ya nchi yetu niliyotembelea na niliwakuta hawa watu kuanzia nyumbani asilia kwa wazazi wangu tabora vijijini mpaka sumbawanga na kila nilipowakuta walikua wamefanikiwa zaidi kuliko wenyeji kimaendeleo na woote tunawaita mangi...
Pia ukienda mkoa wao kwa kweli unavutia jinsi ulivyopambwa kwa maua mazuri hata vijijini kwao wameweza kujenga nyumba bora pamoja na miundo mbinu imara ukilinganisha na makabila mengine.. kwa hiyo kutokana na hiyo mifano michache mimi nafikiri kuna kitu maalaumu ambacho hawa wau wanacho na makabila mengine wamekosa na hivyo naona haitakuwa vibaya kama tukiwabidhi nchi na kutufundisha utamaduni wao kwani unaonekana ni wa kimaendeleo.....
Hee naona watu wamehamaki na wameanza kunishambulia kwa kejeli nyingi, mbona hamsomi vizuri kile nilichokiandika kwa makini mnasoma juu juu tuu, mimi nilichopendekeza ni kitu cha kawaida kabisa na hili inahusiana na uzoefu wangu na hawa watu wa mkoa wa kilimanjaro kwamba ni watu wa maendeleo sana na mkoa wao pekee ndio unaongoza kwa maendeleo tz kuliko mikoa yoote na hata ukienda arusha au dar na ukaangaalia maendeleo makubwa yanasimamiwa na hawa watu, hivyo basi nikaona kwamba hawa watu wana kitu cha pekee ambacho makabila mengine hawana, sasa kuna ubaya gani kama tukijifunza kutoka kwao??
na watu wanaonipinga na kunitukana napenda mnijibu swali moja kutokana na takwimu za serikali zaidi ya nusu nzima ya watz ni masikini wa kupindukia, Je kama mikoa yoote ya tz ingekuwa kama kilimanjaro kimaendeleo hamuoni kwamba hiyo idadi ya umaskini ingepungua kwa asilimia kubwa? na kama jibu ni ndio nini sababu hasa?
Wafanya biashara wengi maarufu dar ni watu wa kilimanjaro swali Je ni kwa nini? ni lazima kuna kitu kuhusu wao... mimi nimekaa kwa miaka miwili kule moshi vijijini leo hii kupata ardhi ya kununua ni kitu ambacho karibu hakiwezekani hii inamaanisha kuwa ardhi karibu yote inatumika sio tuu kwa chakula cha nyumbani bali kibishara pia, wakati nikienda kwetu tabora mpaka leo unaweza hata ukapata ardhi ya heka 10 000 na sio tabora tuu bali karibu mikoa yote ya tz bara unguja na pemba sijafika kwa hiyo siwezi kuongelea.. hata iringa na mbeya mimi pia nimefika na bishara zote kama hazifanywi na waburushi basi zinafanywa na wachaga...
sasa swali ni kwa nini waweze kuwa na mafanikio zaidi....
kama nchi nyingi zinzifunza kutoka nchi nyingine kitu ambacho sio rahisi...na sisi tumepata bahati ya kuwa na watu ambao wanaweza wakatufundisha mambo ya kimaendeleo na wapo nchini mwetu sasa kwanini tusiwatumie? tatizo lipo wapi?
Nimeshangazwa na matusi yaliyotolewa hapa. Was that necessary!??
The response from some of you guys was very inappropriate and a bad spirit to the forum. You might find yourselves someday using the same tone towards your kids.
Hali kadhalika, kumwambia mwenzio kafilisika kifikra sio namna muafaka ya ku-debate au kujibu hoja. State your facts and let the readers make up their own opinions.
Likizungumzwa jambo lenye elements ya ukabila tuchukulie hiyo kama changamoto na kujiuliza maswali kwa upana zaidi.
Wapo viongozi waliosema isiruhusiwe kiti cha uraisi kushikwa na mtu yeyote toka "makabila popular" Tanzania. Mtu mwenye fikra kama hizo leo hii ntamfananisha na "wazee wa shortcuts" wasiopanua mawazo kufikiri njia mbadala kukabiliana na challenge zinazoweza kujitokeza.
Kuhusu swali lako kijakazi,
Kilimanjaro nimekaa kwa muda kiasi.
Moja ya sababu ninayoifahamu ni kuwa Wajerumani enzi za ukoloni walitawala sehemu kadhaa za uchagani. Wajerumani ni wachapa kazi, kilichotokea ni wachaga kuambukizwa hiyo desturi.
Wazee wa kichaga walikuwa na msimamo kwenye hili na ndio maana wachaga walio wengi hawajui kucheza mpira maana wazee hawakuruhusu watoto kupoteza muda mwingi, badala yake walisisitiza kufanya kazi kwa bidii.
Utaona pia kwamba desturi kama kucheza ngoma ni nadra uchagani.
Mambo yamebadilika sasa, mengi yametokea na hii leo uchapaji kazi umeanza kupungua. Vijana huko uchagani wamebaki kunywa pombe siku hizi, ila nadhani hili ni la mpito.
Tuwe waungwana kwenye majadiliano, vinginevyo hata newcomers (newbies) wataghairi kujiunga na JF. Kama thread imeendelea kuwepo, haijawa deleted, ni busara kumnyamazisha mtoa hoja?
.
lazydog kwanza asante kwa ujumbe wako kwa watu woote wenye tabia ambayo hata wewe umeiona ktk bodi hii....Nimeshangazwa na matusi yaliyotolewa hapa. Was that necessary!??
The response from some of you guys was very inappropriate and a bad spirit to the forum. You might find yourselves someday using the same tone towards your kids.
Hali kadhalika, kumwambia mwenzio kafilisika kifikra sio namna muafaka ya ku-debate au kujibu hoja. State your facts and let the readers make up their own opinions.
Likizungumzwa jambo lenye elements ya ukabila tuchukulie hiyo kama changamoto na kujiuliza maswali kwa upana zaidi.
Wapo viongozi waliosema isiruhusiwe kiti cha uraisi kushikwa na mtu yeyote toka "makabila popular" Tanzania. Mtu mwenye fikra kama hizo leo hii ntamfananisha na "wazee wa shortcuts" wasiopanua mawazo kufikiri njia mbadala kukabiliana na challenge zinazoweza kujitokeza.
Kuhusu swali lako kijakazi,
Kilimanjaro nimekaa kwa muda kiasi.
Moja ya sababu ninayoifahamu ni kuwa Wajerumani enzi za ukoloni walitawala sehemu kadhaa za uchagani. Wajerumani ni wachapa kazi, kilichotokea ni wachaga kuambukizwa hiyo desturi.
Wazee wa kichaga walikuwa na msimamo kwenye hili na ndio maana wachaga walio wengi hawajui kucheza mpira maana wazee hawakuruhusu watoto kupoteza muda mwingi, badala yake walisisitiza kufanya kazi kwa bidii.
Utaona pia kwamba desturi kama kucheza ngoma ni nadra uchagani.
Mambo yamebadilika sasa, mengi yametokea na hii leo uchapaji kazi umeanza kupungua. Vijana huko uchagani wamebaki kunywa pombe siku hizi, ila nadhani hili ni la mpito.
Tuwe waungwana kwenye majadiliano, vinginevyo hata newcomers (newbies) wataghairi kujiunga na JF. Kama thread imeendelea kuwepo, haijawa deleted, ni busara kumnyamazisha mtoa hoja?
.
Well said kabisa. Watu wasipokubaliana na mawazo fulani wanakimbilia kufuta thread. Nadhani thats unfair. Ukweli ni kwamba huwezi panda mabua ukavuna mihogo. Wachaga wanachakalika sana, so yale mazuri tujifunze, ila yale ya kunywa mbege mpaka asubuhi..Mmmhhhh..
Lastly Lazydog...mi nasoma michango yako hapa JF..so who am I? that was a question of your signature! Nipe jibu..hahaha