Kabila Lako Lina Sifa Gani?

Kuna kabila linaitwa wanyiha naombeni sifa zao

Wanyiha wengi ni wachapakazi,ni wakulima wazuri sana..

Pia wanaendekeza sana mambo ya kishirikina,ndio wanaoongoza kwa vitendo vy uchunaji ngozi binadamu wenzao kule Mbeya..

Ukienda Mbeya utagundua kwamba watu wengi wanaofanya vitendo vya ujambazi ni Wanyiha

Pia mabaamedi wengi wa bar za Mbeya ni wanyiha na wasafwa
 

umesahau na kujiua
 
kwakweli la kwetu limeongelewa sana tuna wizu wa maendeleo kiasi kwamba tunasemamwa ss tu ila tunapenda mafanikio ni wapole wakarimu wapenda pesa kuliko utu
 
Dah kabila la Wakurya bana nali mind sana haya majamaaa murhaa yanamsimamo ati fita ni fita murhaaa yakiamua jambo we kaa mbaarii murhaaa sisiemu walikimbiswaa murhaa na ma VX yao murhaaa
 
Eeeh kumbe?
kwakweli la kwetu limeongelewa sana tuna wizu wa maendeleo kiasi kwamba tunasemamwa ss tu ila tunapenda mafanikio ni wapole wakarimu wapenda pesa kuliko utu
 
wabondei na wazigua..
wanawake wengi wanajua mapenzi...
wanaume pia hawana gubu na wake zao....
pia kwa kilimo hawapo nyuma..


usifanye nikaja pm kwa nguvu.....

The Boss umenichekesha kweli kweli na hizo sifa hapo.
 
Wajaluo wa wapi hawa unaowazungumzia? Wa Kenya nadhani walishiriki kwenye mauaji ya visasi/vinyongo!Unaweza kuwa mkatili bila kinyongo?
Wajaluo ni wajaluo tu!
 

huyu lazima ni mchaga tu
 
Kweli unawapata hawa jamaa!Real description!
 
Dadii wa kunyumba....Ni lihengo, ugimbi na wadalaa sana tu!!!
Na uwoka lepa mpaka umalaa ugimbi......... kweli wa kunyumba, bombiiiii nyumbiii.......... nine nani momomo......tehe.tehe........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…